Kila nikifungua mitandao ya kijamii ni habari mbaya tu za Serikali

Kila nikifungua mitandao ya kijamii ni habari mbaya tu za Serikali

link?? wakina mama wa kariakoo tu wamechukuliwa nafasi zao sokoni na matajiri.

collateral ya mikopo hii ni nini?? program hii inaanza lini?? I need something nione kweli. my government is doing something positive and it can be shown.
Unaongelea Kariakoo au unaongelea soko la Kariakoo?
Ulivyoandika unaonesha hata Kariakoo huifahamu.

Kwa kukujuza tu; kuna eneo linaitwa Kariakoo, kuna mtaa unaitwa Kariakoo na kuna soko linaitwa Kariakoo.

Unachoongelea wewe ni kipi katika hivyo vitatu?
 
you know what I talked about. wewe ndo unajifanya much know. una hisi kariakoo unajua wewe tu.
 
you know what I talked about. wewe ndo unajifanya much know. una hisi kariakoo unajua wewe tu.
Kwanini nisiijuwe Kariakoo na ndipo nilipozaliwa na kukulia?

Wacha porojo, wewe sema, ulimaanisha Mtaa wa Kariakoo, Eneo la Kariakoo au Soko la Kariakoo? Ili tukuelimishe zaidi.
 
mama kwani hii project yake, au kaikuta then kaichelewesha.
Kuchelewesha project ni habari mbaya.

Kuanza safari Kwa treni ya sgr dar, Moro ni habari njema.

Kuletewa treni mtumba ilhali tulilipia Bei ya mpya ni habari mbaya.

Hivyo narudia kusema, habari njema zipo chache kuliko mbaya.

Sijui umeelewa?
 
in general ni habari mbaya
 
Nina miaka 4 sijawahi kuona habari njema ya maendeleo kwa wananchi, kila siku habari mbaya tu.

Nipeni link ya habari nzuri ya maendeleo miaka 4 hii hata nifarijike.

Na huzuni tu, nipeni 1 good news for the past 4 years nisome nifurahi kuwa nipo na Serikali yangu.

Kura yangu inaniuma sana.

Kura yangu ya kwanza, nilikuwa sijui wapiga kura wanateseka hivi.
Ile habari ya kuanza kufua umeme kule mwl nyerere ilikua mbaya kwako,na ile habari ya train ya mwendokasi SGR kuanza kazi Dar to Moro nayo kwako ni mbaya?,utakua mchawi basi
 
Back
Top Bottom