Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
Luca anaongea habari za nyuma sana, kila kitu Magufuli era.TBC
Kwa hapa JF fuatilia nyuzi za kina Luca
it's should have started 3 years ago hii habari gani nzuri. watu wajalipwa na Sgr hadi leo aija isha. pesa zimeisha. 😔😔☠️ still looking for that good news.Habari njema zipo ingawa chache sana!!
Treni ya sgr kuanza KAZI ni good news.
Hata panapokucha tukiwa salama hiyo ni good news!!!it's should have started 3 years ago hii habari gani nzuri. watu wajalipwa na Sgr hadi leo aija isha. pesa zimeisha. 😔😔☠️ still looking for that good news.
Kumbuka amekwambia habari njema ya serikali hii, usilisahau hiloHabari njema zipo ingawa chache sana!!
Treni ya sgr kuanza KAZI ni good news.
SGR wanataka wadau waiendeshe hata wewe changamkia fursa, nitakusaidua kuandika mpango wa biasharait's should have started 3 years ago hii habari gani nzuri. watu wajalipwa na Sgr hadi leo aija isha. pesa zimeisha. 😔😔☠️ still looking for that good news.
Hata hizo chache nataka moja tu.Hata panapokucha tukiwa salama hiyo ni good news!!!
Kule Ukraine au Gaza Si kama sisi, hivyo Kuna kitu Serikali yetu inafanya Kwa Amani ya nchi yetu.
Ukizitafuta habari njema, zipo, ingawa ni chache.
Anza na hii upate motisha, Wale wadada wa ubungo wanapewa mikopo baada ya kupelekwa sehemu salama.luca anaongea habari za nyuma sana, kila kitu Magufuli era.
kitu kipya serikali hii imefanya kimoja tu niseme serikali ipo na mimi??
kura yangu ya kwanza kupiga inaniuma sana.
bora ningempigia mbwa tu.
maana sioni Hata 1 thing. some one should change my mind
Wazo zuri lakini hili tatizo liko nchi nzima, swali fikirishi je waliodaiwa kununua huduma wao wamepewa niniAnza na hii upate motisha, Wale wadada wa ubungo wanapewa mikopo baada ya kupelekwa sehemu salama.
link?? wakina mama wa kariakoo tu wamechukuliwa nafasi zao sokoni na matajiri.Anza na hii upate motisha, Wale wadada wa ubungo wanapewa mikopo baada ya kupelekwa sehemu salama.
it's 3 years late na ni off / on project.JK hydro imeanza uzalishaji
Maendeleo ni chawa wamenenepa haswana miaka 4. sijawai kuona habari njema ya maendeleo kwa wananchi. ni kila siku habari mbaya tu.
nipeni link ya habari nzuri ya maendeleo miaka 4 hii hata nifalijike...
Wanalipana posho pekee hakuna la maanalink?? wakina mama wa kariakoo tu wamechukuliwa nafasi zao sokoni na matajiri.
collateral ya mikopo hii ni nini?? program hii inaanza lini?? I need something nione kweli. my government is doing something positive and it can be shown.
Maza kafanikiwa kutengeneza chawa pekeeHata hizo chache nataka moja tu.
Hapo ndiyo uelewe uzushi na umbea unavuta watu.na miaka 4. sijawai kuona habari njema ya maendeleo kwa wananchi. ni kila siku habari mbaya tu.
nipeni link ya habari nzuri ya maendeleo miaka 4 hii hata nifalijike.
Na huzuni tu, nipeni 1 good news for the past 4 years. ni some nifurahi kuwa nipo na serikali yangu,
kura yangu inaniuma sana.
kura yangu ya kwanza, nilikuwa sijui wapiga kura wana teseka hivi.
Wanunuzi unapendekeza wapewe nini? Wake?Wazo zuri lakini hili tatizo liko nchi nzima, swali fikirishi je waliodaiwa kununua huduma wao wamepewa nini
Sasa kwani kuanza KAZI treni ya sgr Si ni Awamu ya Tano second half?Kumbuka amekwambia habari njema ya serikali hii,usilisahau hilo