Unaongelea Kariakoo au unaongelea soko la Kariakoo?link?? wakina mama wa kariakoo tu wamechukuliwa nafasi zao sokoni na matajiri.
collateral ya mikopo hii ni nini?? program hii inaanza lini?? I need something nione kweli. my government is doing something positive and it can be shown.
Mimi nilidhani nao wameathirika kisakolojiaWanunuzi unapendekeza wapewe nini? Wake?
you know what I talked about. wewe ndo unajifanya much know. una hisi kariakoo unajua wewe tu.Unaongelea Kariakoo au unaongelea soko la Kariakoo?
Ulivyoandika unaonesha hata Kariakoo huifahamu.
Kwa kukujuza tu; kuna eneo linaitwa Kariakoo, kuna mtaa unaitwa Kariakoo na kuna soko linaitwa Kariakoo.
Unachoongelea wewe ni kipi katika hivyo vitatu?
Kasome bajeti pendekezwa utaziona project.habari njema. they caused this problem. napia ni maneno. sioni project hapa.
umeziona zinafanyika na zika kamilika kwa wakati.Kasome bajeti pendekezwa utaziona project.
Ndio wameathirika sbabu wamelipia huduma halafu kabla haijakamilika wamekamatwa na kupelekwa korokoni na kukosa huduma.Mimi nilidhani nao wameathirika kisakolojia
1. Treni ya Umeme.umeziona zinafanyika na zika kamilika kwa wakati.
taja moja
Waliopanda Kwa mara ya kwanza Treni ya sgr Kutoka Dar kwenda Moro,Hata hizo chache nataka moja tu.
hii kwani ya mama???1. Treni ya Umeme.
mama kwani hii project yake, au kaikuta then kaichelewesha.Waliopanda Kwa mara ya kwanza Treni ya sgr Kutoka Dar kwenda Moro,
Hiyo ni habari njema.
Kwanini nisiijuwe Kariakoo na ndipo nilipozaliwa na kukulia?you know what I talked about. wewe ndo unajifanya much know. una hisi kariakoo unajua wewe tu.
sawa.Kwanini nisiijuwe Kariakoo na ndipo nilipozaliwa na kukulia?
Wacha porojo, wewe sema, ulimaanisha Mtaa wa Kariakoo, Eneo la Kariakoo au Soko la Kariakoo? Ili tukuelimishe zaidi.
Should have.hii kwani ya mama???
mama ajafanya chochote kwa hili
treni should have started in 2022. mzee
Kuchelewesha project ni habari mbaya.mama kwani hii project yake, au kaikuta then kaichelewesha.
Umenikumbusha kesi ya mtoaji na mpokea rushwaNdio wameathirika sbabu wamelipia huduma halafu kabla haijakamilika wamekamatwa na kupelekwa korokoni na kukosa huduma.
in general ni habari mbayaKuchelewesha project ni habari mbaya.
Kuanza safari Kwa treni ya sgr dar, Moro ni habari njema.
Kuletewa treni mtumba ilhali tulilipia Bei ya mpya ni habari mbaya.
Hivyo narudia kusema, habari njema zipo chache kuliko mbaya.
Sijui umeelewa?
Habari nyingi mbaya, nzuri chache.in general ni habari mbaya
Mdini huyu niwa kupuuza tuuHapo ndiyo uelewe uzushi na umbea unavuta watu.
Ile habari ya kuanza kufua umeme kule mwl nyerere ilikua mbaya kwako,na ile habari ya train ya mwendokasi SGR kuanza kazi Dar to Moro nayo kwako ni mbaya?,utakua mchawi basiNina miaka 4 sijawahi kuona habari njema ya maendeleo kwa wananchi, kila siku habari mbaya tu.
Nipeni link ya habari nzuri ya maendeleo miaka 4 hii hata nifarijike.
Na huzuni tu, nipeni 1 good news for the past 4 years nisome nifurahi kuwa nipo na Serikali yangu.
Kura yangu inaniuma sana.
Kura yangu ya kwanza, nilikuwa sijui wapiga kura wanateseka hivi.