Nina miaka 4 sijawahi kuona habari njema ya maendeleo kwa wananchi, kila siku habari mbaya tu.
Nipeni link ya habari nzuri ya maendeleo miaka 4 hii hata nifarijike.
Na huzuni tu, nipeni 1 good news for the past 4 years nisome nifurahi kuwa nipo na Serikali yangu.
Kura yangu inaniuma sana.
Kura yangu ya kwanza, nilikuwa sijui wapiga kura wanateseka hivi.