Kila nikiifikiria hii kodi nashindwa kuwaelewa TRA, naona kama naibiwa

Ndugu, provisional tax assessment ni jukumu la mfanyabiashara husika na si la TRA. Sheria haisemi kuwa TRA ndio wamkadirie mlipa kodi.

Kama hadi leo hujui hivyo basi naomba urudi kujifunza upya.
Mkuu hivi wewe ulishawahi hata kwenda TRA au unaongea story za wapi..., TRA kila mwaka kabla ya mwezi wa tatu kuisha kila mfanyabiashara ambaye hana mahesabu yaliyofanywa na muhasibu anaenda kukutana na Tax officer kama hauna mahesabu yako (yaani kumbukumbu za mauzo na risiti ) tax officer anakukadiria unauza kiasi gani kwa mwaka na kuchajiwa accordingly kutokana na mauzo yako kwa mwaka..., kama una mahesabu yako na kumbukumbu atapiga hesabu pale ya mauzo ya mwaka na kucharge accordingly na hayo mauzo..,

Na katika mauzo kuna groups, wasiozidi mauzo ya milioni 2 kwa mwaka hawatoi ushuru, kutoka hapa kuna different groups mpaka wale ambazo wanazidi kiasi fulani kwa mwaka (hawa inabidi walete mahesabu yaliyopitiwa na muhasibu) wale ambao mauzo yao ni ya juu zaidi inabidi walipie na VAT huo ndio utaratibu..
and for reference hizi hapa tax rates with effect from 2017

Worked example: (Extracted from the pdf below)
1. Income of Tshs.360,000/= Tax is (360,000 - 170,000) x 9% = Tshs.17,100/=
2. Income of Tshs.450,000/= Tax is 17,100 + (450,000 - 360,000) x 20% = Tshs. 35,100/=
3. Income of Tshs.650,000/= Tax is 53,100 + (650,000 - 540,000) x 25% = Tshs. 80,600/=
4. Income of Tshs.850,000/= Tax is 98,100 + (850,000 - 720,000) x 30% = Tshs. 137,100
 
Attachments

Hilo ni deni tayari linasoma katika tin namba yangu na natakiwa nililipe kabla ya tarehe 31 December
Nisipo lipa ikifika 2020 nitapigwa penati kwa kweli najuta kwa nini nilienda TRA
Mkuu umenichekesha sana, kuwa unajuta kwenda wapi vile?....... Nani alikutuma uende huko, siungeenda hata bar kama hukuwa na pengine pa kwenda
 
Mkuu hivi wewe ulishawahi hata kwenda TRA au unaongea story za wapi..., TRA kila mwaka kabla ya mwezi wa tatu kuisha kila mfanyabiashara ambaye hana mahesabu yaliyofanywa na muhasibu anaenda kukutana na Tax officer kama hauna mahesabu yako (yaani kumbukumbu za mauzo na risiti ) tax officer anakukadiria unauza kiasi gani kwa mwaka na kuchajiwa accordingly kutokana na mauzo yako kwa mwaka..., kama una mahesabu yako na kumbukumbu atapiga hesabu pale ya mauzo ya mwaka na kucharge accordingly na hayo mauzo..,

Na katika mauzo kuna groups, wasiozidi mauzo ya milioni 2 kwa mwaka hawatoi ushuru, kutoka hapa kuna different groups mpaka wale ambazo wanazidi kiasi fulani kwa mwaka (hawa inabidi walete mahesabu yaliyopitiwa na muhasibu) wale ambao mauzo yao ni ya juu zaidi inabidi walipie na VAT huo ndio utaratibu..
and for reference hizi hapa tax rates with effect from 2017

Worked example: (Extracted from the pdf below)
1. Income of Tshs.360,000/= Tax is (360,000 - 170,000) x 9% = Tshs.17,100/=
2. Income of Tshs.450,000/= Tax is 17,100 + (450,000 - 360,000) x 20% = Tshs. 35,100/=
3. Income of Tshs.650,000/= Tax is 53,100 + (650,000 - 540,000) x 25% = Tshs. 80,600/=
4. Income of Tshs.850,000/= Tax is 98,100 + (850,000 - 720,000) x 30% = Tshs. 137,100

Nikushauri kitu? ACHA KUKARIRI. Bado hujaelewa logic yangu pamoja na kuleta majedwali yako hapa (na kichekesho ni kuwa umeleta jedwali la PAYE).
Hebu nijibu hili swali; mtu anaeanza biashara (kama alieleta maada hapa) basis ya provisional tax assessment yake itatokana na nini?
Halafu; kwa akili yako mfanyabiashara ana hiari ya kutengeneza hesabu au la?
 
Nikushauri kitu? ACHA KUKARIRI. Bado hujaelewa logic yangu pamoja na kuleta majedwali yako hapa.
Hebu nijibu hili swali; mtu anaeanza biashara (kama alieleta maada hapa) basis ya provisional tax assessment yake itatokana na nini?
hio biashara anayoanza haina duka wala bidhaa wala vitu anavyouza ? Tax officer atakadiria kutokana na biashara husika na sehemu husika mauzo yalivyo kutokana na sehemu husika. Huo ndio uhalisia wa mambo yanavyokwenda, hauwezi kwenda ukawaambia TRA mimi naona biashara yangu mauzo yatakuwa kiasi kadhaa wakati sehemu tu pango la nyumba ni mara tatu ya hayo mauzo unayowaambia, Pia tax officer wa eneo husika akifanya kazi yake kwa umakini anakuwa anajua mwenendo wa biashara za eneo husika...

Sasa wewe unaetoa ushauri asingekwenda kukadiriwa ili sijui amuone muhasibu sijui angemsaidia vipi kupingana na hizo sheria zilizopo (hapo issue atakuwa ameonewa kama tu amechajiwa kuzidi mauzo yake kwa mwezi / mwaka) Hizo ndio sheria zilizopo..,

Issue ya maana kujadiriwa ni kama sheria hizo sio rafiki na zinanyonya ila issue sio kwamba kilichofanyika hakiendani na maelekezo waliyopewa kulingana na sheria ambazo wabunge wenu wanazipitisha..., na hapo hakuna loophole ambayo ingeweza kumsaidia kwa ushauri wowote wa muhasibu zaidi ya kupoteza pesa zaidi ya kumlipa huyo so called mshauri....
 
Hilo ni deni tayari linasoma katika tin namba yangu na natakiwa nililipe kabla ya tarehe 31 December
Nisipo lipa ikifika 2020 nitapigwa penati kwa kweli najuta kwa nini nilienda TRA
Ndio maana by all means tunakwepa kulipa kodi. Jitahid siku nyingine usijipele sana tra kama unataka kufanikiwa kwenye biashara
 
Nimefungua biashara mwezi wa tisa nikaona ni bora niende TRA ili nifanye biashara kwa kufuata sheria za nchi na nilipe kodi.

Kutokana na biashara yangu nikakadiriwa kodi laki moja na hamsini kwa mwaka; sikuwa na shida na hilo.

Lakini kitu kilichonishangaza baada ya kuprintiwa makaratasi yangu ya makadirio nikaambiwa hiyo laki na hamsini inatakiwa niilipe kabla ya tarehe 31 December

Nikamwambie yule dada biashara nimeanza mwezi huu wa tisa na hizi kodi naona hapa mmezigawanya katika robo 4 mimi inanihusu hi robo ya mwisho sasa kwa nini nilipie na hizo robo 3 kipindi ambacho biashara haikuwepo?

Yule dada akaniambia system ndio imesetiwa hivyo haijalishi biashara umeanza lini unatakiwa ulipe kodi yote ya mwaka mzima

Naomba TRA mnijibu maswali mzima?

1) Nani aliyeiseti hiyo system ya kuwaibia walipa kodi ni kwamba elimu yake ndogo au alifanya kusudi ili kutukomoa tunaotaka kulipa kodi kwa hiyari?

2) Kwa elimu yangu ndogo niliyo nayo kodi inalipwa baada ya kufanya biashara na kupata income sasa iweje mnadai kodi katika kipindi ambacho biashara haikuwepo?

3) mmenikadiria income yangu ni laki tano kwa mwaka ambayo kodi yake ndiyo hiyo laki na hamsini sasa iweje income nitakayo ipata kwa miezi 4 muichaji kodi ya mwaka mzima?

4) Haya mahesabu ya kodi mnayo yafanya ndivyo mlivyo fundishwa huko chuoni kwenu pale kijitonyama au mnatoa kichwani kwenu ili kuwa vunja moyo walipa kodi?View attachment 1278195
Bora yko Mimi nimeanzsha biashara Nov 7, Kodi nikaambiwa laki na nusu ila mwisho wake dec 31, nirudi wakanikadirie upya
 
Inashangaza sana,kwamba hiyo system ilishushwa hata isibadilishwe ?
Ndio maana tunawakwepa
 
Hutakiwi kukadiriwa kodi na TRA; sheria inakuhitaji wewe mwenyewe ndie upeleke makadirio yako. Ndio maana kukawekwa na penalty (adhabu) endapo itabainika kuwa makadirio yako yalikuwa ni madogo kuliko mapato makubwa (inapotokea tofauti kati ya mapato halisi na makisio ni tofauti angalau kwa 20% au zaidi).
Siku nyingine tafuta mhasibu akusaidie.
Haya mliyosoma darasani sio sawa na uhalisia pili umeandika usichokijua nanaamin haujawahi kuwa na tin ya biashara maishan mwako. Kwa sheria ya kodi afisa wako wa kodi anakufanyia makadiria kwa kuangalia uwezo wa biashara. Kwa biashara kubwa yenye mauzo zaid ya milioni 50 kwa mwezi kama sikosei ndio unatakiwa kuwa na mhasibu nalo ni hitaji la kisheria.
Kwa kadirio hilo la 150,000/ kwa mwaka huyu anabiashara ndogo snaa coz hicho ni kima cha chini.
Nirudi kwa mleta mada hapo huyo afisa hana uelewa au anakimbizana na malengo coz kwa utaratibu wa sasa unatakiwa kulipa kodi ya awamu hii tu na sio kwa mwaka mzma. Hapo cha kufanya kata rufaa au nenda kwa meneja wa tra mkoa
 
Penalt zimeondolewa siku hizi
Hilo ni deni tayari linasoma katika tin namba yangu na natakiwa nililipe kabla ya tarehe 31 December
Nisipo lipa ikifika 2020 nitapigwa penati kwa kweli najuta kwa nini nilienda TRA
 
Nimefungua biashara mwezi wa tisa nikaona ni bora niende TRA ili nifanye biashara kwa kufuata sheria za nchi na nilipe kodi.

Kutokana na biashara yangu nikakadiriwa kodi laki moja na hamsini kwa mwaka; sikuwa na shida na hilo.

Lakini kitu kilichonishangaza baada ya kuprintiwa makaratasi yangu ya makadirio nikaambiwa hiyo laki na hamsini inatakiwa niilipe kabla ya tarehe 31 December

Nikamwambie yule dada biashara nimeanza mwezi huu wa tisa na hizi kodi naona hapa mmezigawanya katika robo 4 mimi inanihusu hi robo ya mwisho sasa kwa nini nilipie na hizo robo 3 kipindi ambacho biashara haikuwepo?

Yule dada akaniambia system ndio imesetiwa hivyo haijalishi biashara umeanza lini unatakiwa ulipe kodi yote ya mwaka mzima

Naomba TRA mnijibu maswali mzima?

1) Nani aliyeiseti hiyo system ya kuwaibia walipa kodi ni kwamba elimu yake ndogo au alifanya kusudi ili kutukomoa tunaotaka kulipa kodi kwa hiyari?

2) Kwa elimu yangu ndogo niliyo nayo kodi inalipwa baada ya kufanya biashara na kupata income sasa iweje mnadai kodi katika kipindi ambacho biashara haikuwepo?

3) mmenikadiria income yangu ni laki tano kwa mwaka ambayo kodi yake ndiyo hiyo laki na hamsini sasa iweje income nitakayo ipata kwa miezi 4 muichaji kodi ya mwaka mzima?

4) Haya mahesabu ya kodi mnayo yafanya ndivyo mlivyo fundishwa huko chuoni kwenu pale kijitonyama au mnatoa kichwani kwenu ili kuwa vunja moyo walipa kodi?View attachment 1278195
Kama bado hujapata suluhisho ya hili tatizo, jibu ni hili.
Andika barua TRA kuwa huwezi lipa kodi quarter 1, 2 na 3 kwa kuwa biashara ilikuwa haijaanza. Weka na TIN yako. Toa copy na hakikisha umeweka sahihi yako. Ipeleke hiyo barua hapo.

Kinachotokea, hutolipa kodi ya hizo 3, utalipa quarter ya 4 tu. Wataichukua hizo barua na kupiga mhuri, moja watabaki nayo, nyingine utaondoka nayo.

Mchezo umeisha.
 
hio biashara anayoanza haina duka wala bidhaa wala vitu anavyouza ? Tax officer atakadiria kutokana na biashara husika na sehemu husika mauzo yalivyo kutokana na sehemu husika. Huo ndio uhalisia wa mambo yanavyokwenda, hauwezi kwenda ukawaambia TRA mimi naona biashara yangu mauzo yatakuwa kiasi kadhaa wakati sehemu tu pango la nyumba ni mara tatu ya hayo mauzo unayowaambia, Pia tax officer wa eneo husika akifanya kazi yake kwa umakini anakuwa anajua mwenendo wa biashara za eneo husika...

Sasa wewe unaetoa ushauri asingekwenda kukadiriwa ili sijui amuone muhasibu sijui angemsaidia vipi kupingana na hizo sheria zilizopo (hapo issue atakuwa ameonewa kama tu amechajiwa kuzidi mauzo yake kwa mwezi / mwaka) Hizo ndio sheria zilizopo..,

Issue ya maana kujadiriwa ni kama sheria hizo sio rafiki na zinanyonya ila issue sio kwamba kilichofanyika hakiendani na maelekezo waliyopewa kulingana na sheria ambazo wabunge wenu wanazipitisha..., na hapo hakuna loophole ambayo ingeweza kumsaidia kwa ushauri wowote wa muhasibu zaidi ya kupoteza pesa zaidi ya kumlipa huyo so called mshauri....

Now let me get you busted.
Kwa "majibu" uliyotoa (na maswali uliyouliza) hapa NAKUHAKIKISHIA jambo hili: Wewe huwezi kufanya kazi private sector na mfanyabiashara yeyote anaejielewa. Atakufukuza within 3 days. Kwa uchache umethibitisha hujui basic principles kwenye tax zinazotumika nchi hii (na wewe ukiwa mshauri wa mfanyabiashara utakachokuwa unakifanya sana sana ni sawa na kuwa tarishi wa TRA unaelipwa na mlipa kodi):

1. Hujui tofauti kati ya provisional income tax na final tax
2. Hujui tofauti kati ya PAYE na CIT
3. Hujui kuwa si kila mtu ana-submit provisional tax zake (quarter ya Jan-March), wengine quarter zao za kwanza ni April - June, July - Sept au October- December).
4. Hujui kuwa kuwa kuna presumptive assessment na self-assessment.

Kichekesho kikubwa zaidi ni pale unapodhani kuna uhusiano kati ya kodi ya pango na mauzo (what if biashara yake ni ya mazao ya kilimo anayoanza kuuza mwaka wa tano tangu afungue biashara yake; ina maana miaka minne ya mwanzo atalipa kodi kutokana na mauzo yapi?)

Kwa taarifa yako: ninaishi kwa kufanya shughuli zangu binafsi (na moja kati ya hizo ni tax advisory). I know what I am talking about PRACTICALLY and for more than 15 years now. Kama umekaririshwa kuwa ni wajibu wa TRA kukadiria mfanyabiashara basi rudi ujifunze upya. Soma maelezo yaliyopo hapo chini (na yanatoka kwenye Form ITX 202 - ambayo ndio estimates yenyewe unayong'anga'na hapa kuwa inafanywa na tax officer wa TRA) halafu uniambie ni nani anaetajwa kuhusika na kufanya makadirio:

NOTE
An estimate/revised estimate of tax payable to be made by an entity under Section 89 of the Income Tax Act, 2004. You are required to furnish the estimate of income for the year ........ within three (3) months of the beginning of your accounting date or after the preceding calendar year.

Please, read the notes carefully in the appendix before filling in the form.​

There are penalties for not/late filing an estimate or for giving false information.
 
Nchi hii bwana,we unalia na TRA,mi nalia na DAWASCO..yan hapa nilipo nina deni la laki nne,kila nikipiga mahesabu silielewielewi
 
Haya mliyosoma darasani sio sawa na uhalisia pili umeandika usichokijua nanaamin haujawahi kuwa na tin ya biashara maishan mwako. Kwa sheria ya kodi afisa wako wa kodi anakufanyia makadiria kwa kuangalia uwezo wa biashara. Kwa biashara kubwa yenye mauzo zaid ya milioni 50 kwa mwezi kama sikosei ndio unatakiwa kuwa na mhasibu nalo ni hitaji la kisheria.
Kwa kadirio hilo la 150,000/ kwa mwaka huyu anabiashara ndogo snaa coz hicho ni kima cha chini.
Nirudi kwa mleta mada hapo huyo afisa hana uelewa au anakimbizana na malengo coz kwa utaratibu wa sasa unatakiwa kulipa kodi ya awamu hii tu na sio kwa mwaka mzma. Hapo cha kufanya kata rufaa au nenda kwa meneja wa tra mkoa

Uliochoandika hapo nilipopa-bold ni umbumbumbu wako unaotaka kuhalalisha kuwa ndio sheria. Proof kuwa wewe ni mbumbumbu kwenye hii issue (I hope unaelewa English japo kidogo) soma maelezo haya chini ukitilia mkazo kwenye bold (yanapatikana kwenye form za estimates i.e. Provisional Income Tax) halafu uniambie unachokijua wewe na nisichokijua mimi kuhusu maelezo niliyoyatoa. Kwa akili yako kubwa mfanyabiashara mwenye TIN hayo maelezo yanamtaka nani afanye estimates?? (Nenda website ya TRA utaona form nzima inaeleza nini.)

NOTE
An estimate/revised estimate of tax payable to be made by an entity under Section 89 of the Income Tax Act, 2004. You are required to furnish the estimate of income for the year ..... within three (3) months of the beginning of your accounting date or after the preceding calendar year.

Please, read the notes carefully in the appendix before filling in the form.​

There are penalties for not/late filing an estimate or for giving false information.
 
Now let me get you busted.
Kwa "majibu" uliyotoa (na maswali uliyouliza) hapa NAKUHAKIKISHIA jambo hili: Wewe huwezi kufanya kazi private sector na mfanyabiashara yeyote anaejielewa. Atakufukuza within 3 days. Kwa uchache umethibitisha hujui basic principles kwenye tax zinazotumika nchi hii (na wewe ukiwa mshauri wa mfanyabiashara utakachokuwa unakifanya sana sana ni sawa na kuwa tarishi wa TRA unaelipwa na mlipa kodi):

1. Hujui tofauti kati ya provisional income tax na final tax
2. Hujui tofauti kati ya PAYE na CIT
3. Hujui kuwa si kila mtu ana-submit provisional tax zake (quarter ya Jan-March), wengine quarter zao za kwanza ni April - June, July - Sept au October- December).
4. Hujui kuwa kuwa kuna presumptive assessment na self-assessment.
Hapa pote sioni unachoongelea kina uhusiano vipi na issue ya mdau ambaye kodi yake inakadiriwa kulingana na mauzo ambayo nimeweka jedwari lake hapo juu.., hayo mambo mengine yote ni confusing the issue the bottom line ni kwamba kodi aliyokadiriwa ni kulingana na mauzo yake ambayo yeye mwenyewe wala hajabisha kama hayapo sawa

Kichekesho kikubwa zaidi ni pale unapodhani kuna uhusiano kati ya kodi ya pango na mauzo (what if biashara yake ni ya mazao ya kilimo anayoanza kuuza mwaka wa tano tangu afungue biashara yake; ina maana miaka minne ya mwanzo atalipa kodi kutokana na mauzo yapi?)
Hivi mkuu unaelewa maana ya kukadiriwa kulingana na mauzo yako ?, sasa kama hana mauzo kwa hio miaka atalipa nini ?, na kama ataonyesha kwamba hana mauzo atalipa vipi ?, point yangu ni kwamba huyo tax officer atakadiria accordingly kutokana uhalisia wa mauzo yake

Kwa taarifa yako: ninaishi kwa kufanya shughuli zangu binafsi (na moja kati ya hizo ni tax advisory). I know what I am talking about PRACTICALLY and for more than 15 years now. Kama umekaririshwa kuwa ni wajibu wa TRA kukadiria mfanyabiashara basi rudi ujifunze upya. Soma maelezo yaliyopo hapo chini (na yanatoka kwenye Form ITX 202 - ambayo ndio estimates yenyewe unayong'anga'na hapa kuwa inafanywa na tax officer wa TRA) halafu uniambie ni nani anaetajwa kuhusika na kufanya makadirio:

NOTE
An estimate/revised estimate of tax payable to be made by an entity under Section 89 of the Income Tax Act, 2004. You are required to furnish the estimate of income for the year ........ within three (3) months of the beginning of your accounting date or after the preceding calendar year.

Please, read the notes carefully in the appendix before filling in the form.

There are penalties for not/late filing an estimate or for giving false information.
Katika hizo advices zako kama moja wapo ni kumshauri mtu kama huyu ambaye kodi yake ipo straight forward kulingana na jedwari la TRA na analipa kiasi gani kulingana na mapato yake naona hapa tunajaza server bure tu.., issue ni kwamba jamaa atakwenda TRA kulingana na mauzo yake kwa mwezi tax offer atamweleza analipa ngapi, kama hana vielelezo atamkadiria kulingana na mauzo anayoona kwamba jamaa anafanya na kuepuka undanganyifu indicators itakuwa ni pamoja na aina ya biashara na sehemu husika (kwahio atakadiria mauzo yake kwa mwezi) ambayo kwa maelekezo ya jedwari atakuwa charged accordingly

Hayo mambo ya experience yako na kazi zako its non of my concern.., what matters are the facts of the ways things are done....
 
Wakwepa kodi wanajipanga kuja na mbinu mbadala,ukijua ya mbele wengine wanajua ya nyuma,ni mwendo wa nzi tu
 
Hilo ni deni tayari linasoma katika tin namba yangu na natakiwa nililipe kabla ya tarehe 31 December
Nisipo lipa ikifika 2020 nitapigwa penati kwa kweli najuta kwa nini nilienda TRA
Lakini si walisema kua anaeanza biashara anapewa miezi 3 ya free,wamebadili Tena?
 
Hapa pote sioni unachoongelea kina uhusiano vipi na issue ya mdau ambaye kodi yake inakadiriwa kulingana na mauzo ambayo nimeweka jedwari lake hapo juu.., hayo mambo mengine yote ni confusing the issue the bottom line ni kwamba kodi aliyokadiriwa ni kulingana na mauzo yake ambayo yeye mwenyewe wala hajabisha kama hayapo sawa

Hivi mkuu unaelewa maana ya kukadiriwa kulingana na mauzo yako ?, sasa kama hana mauzo kwa hio miaka atalipa nini ?, na kama ataonyesha kwamba hana mauzo atalipa vipi ?, point yangu ni kwamba huyo tax officer atakadiria accordingly kutokana uhalisia wa mauzo yake

Katika hizo advices zako kama moja wapo ni kumshauri mtu kama huyu ambaye kodi yake ipo straight forward kulingana na jedwari la TRA na analipa kiasi gani kulingana na mapato yake naona hapa tunajaza server bure tu.., issue ni kwamba jamaa atakwenda TRA kulingana na mauzo yake kwa mwezi tax offer atamweleza analipa ngapi, kama hana vielelezo atamkadiria kulingana na mauzo anayoona kwamba jamaa anafanya na kuepuka undanganyifu indicators itakuwa ni pamoja na aina ya biashara na sehemu husika (kwahio atakadiria mauzo yake kwa mwezi) ambayo kwa maelekezo ya jedwari atakuwa charged accordingly

Hayo mambo ya experience yako na kazi zako its non of my concern.., what matters are the facts of the ways things are done....

I have given up. You are incorrigible. Hufundishiki na wala hujui kuwa hujui.

Endelea kuamini unachokiamini.
 
Watanzania huwa tunasoma lakini hatuelimiki
Maana kusoma na kuelimika ni vitu viwili tofauti
Hiyo laki 5 hapo ndio income yako ya mwaka ikishaingia hiyo ndio unalipa kodi sasa iweje income ya miezi 3 ichajiwe kodi ya mwaka hiyo pesa itatoka wapi
Wanataka uchote katika capital yako uwapelekee
Hapo bro umeibiwa na inasikitisha taasisi muhimu ya serikali inawaibia walipa kodi wake

Kumbuka jambo hili: TRA wanapangiwa target ya makusanyo. Kwa kufuatana na hali halisi malengo wanayopangiwa kamwe hawawezi kuyafikia bila kupora/kuongezea/kubambikia watu kodi (au kutafsiri sheria isivyo halali - kwani wanajua kuwa Watanzania wengi hawajishughulishi kusoma sheria inasemaje) ili wafikie malengo waliyopangiwa.

Ukiangalia hata michango ya watu fulani hapa; wanaamini kila wanachoambiwa na maafisa wa TRA as if kila wanachoambiwa ndio ukweli wenyewe. Ifike mahali Watanzania tuamke vinginevyo tutajikuta tunalipa kodi hata kwenye hasara.
 
Back
Top Bottom