Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Sasa siku mkikutana na simba usiku si ndio mtakunya kabisa! [emoji23][emoji23]
Uoga haufai kwa mtoto wa kiume.
Actually siyo tatizo kubwa sana.Ishawahi nitokea mara mbili nikiwa kwenye chumba cha mtihani alafu ni principal subject baada hapo nilirelax mno,
Ni jambo la kawaida tu na likitokea huufanya mwili kurelax hasa kutokana hofu ya kutokumaliza pepa.Hiyo ni hali ya kawaida, hata mimi ilishawahi kunitokea kipindi niko shule nafanya mtihani, msimamizi akitaja dakika za majeruhi bado dakika 5,4,3,2 au 1 halafu ukute sijamaliza maswali na mtihani ulikuwa jiwe basi najikuta mzee baba kashafanya yake kutokana na hofu
Labuda tezi dume zako ziko hai sanaHabari zenu wana Jf
Nina tatizo moja hivi yaani kila nikiaanza kuingiwa na hofu huwa najikuta shatoa manii napiizii yanatoka yenyewe automatically nashindwa kujizuia jamani hii ni tatizo au ni hali ya kawaida??.
Ifungie kwenye kibuyu kama watu wa kule New Papua Guinea.Habari zenu wana Jf
Nina tatizo moja hivi yaani kila nikiaanza kuingiwa na hofu huwa najikuta shatoa manii napiizii yanatoka yenyewe automatically nashindwa kujizuia jamani hii ni tatizo au ni hali ya kawaida??.
Habari zenu wana Jf
Nina tatizo moja hivi yaani kila nikiaanza kuingiwa na hofu huwa najikuta shatoa manii napiizii yanatoka yenyewe automatically nashindwa kujizuia jamani hii ni tatizo au ni hali ya kawaida??.
Ilinitokea mtihani wa form Six ndani ya chumba cha mtihani piga maswali hayapigiki, ghafla kitu kikaruka, zikamwagika.Hiyo ni hali ya kawaida, hata mimi ilishawahi kunitokea kipindi niko shule nafanya mtihani, msimamizi akitaja dakika za majeruhi bado dakika 5,4,3,2 au 1 halafu ukute sijamaliza maswali na mtihani ulikuwa jiwe basi najikuta mzee baba kashafanya yake kutokana na hofu