Kila nikiingiwa na hofu natokwa manii. Je, ni hali ya kawaida au ugonjwa?

Kila nikiingiwa na hofu natokwa manii. Je, ni hali ya kawaida au ugonjwa?

Sasa siku mkikutana na simba usiku si ndio mtakunya kabisa! [emoji23][emoji23]

Uoga haufai kwa mtoto wa kiume.

WEWE SHIDA MOJA HUJUI UNACHOONGEA NDIO MAANA.... MTU AKISEMA KITU KILICHOTOKEA MARA 1 HAIMAANISHI KWAMBA NDIO MUOGA MOJA KWA MOJA
 
Huo ni ugonjwa wala msifarijiane, nenda kaombewe.
 
Pia rafik yangu ilikuwa inamtokea kwenye mtihan
 
Ishawahi nitokea mara mbili nikiwa kwenye chumba cha mtihani alafu ni principal subject baada hapo nilirelax mno,
 
Ishawahi nitokea mara mbili nikiwa kwenye chumba cha mtihani alafu ni principal subject baada hapo nilirelax mno,
Actually siyo tatizo kubwa sana.
Huwatokea wengi tu unapokuwa na hofu hasa kwenye mitihani.
 
Hiyo ni hali ya kawaida, hata mimi ilishawahi kunitokea kipindi niko shule nafanya mtihani, msimamizi akitaja dakika za majeruhi bado dakika 5,4,3,2 au 1 halafu ukute sijamaliza maswali na mtihani ulikuwa jiwe basi najikuta mzee baba kashafanya yake kutokana na hofu
Ni jambo la kawaida tu na likitokea huufanya mwili kurelax hasa kutokana hofu ya kutokumaliza pepa.
Hata mimi ilikuwa ikinitokea sana hii wakati wa mitihani hasa kama kuna dalili za kutokumaliza maswali ile spidi ya kukimbizana na muda
 
Manii kutoka ni mpaka jojoo liwike sasa litawikaje ukiwa na hofu? Basi ni ugonjwa ila sio ile manii ya jogoo kuwika
 
Habari zenu wana Jf

Nina tatizo moja hivi yaani kila nikiaanza kuingiwa na hofu huwa najikuta shatoa manii napiizii yanatoka yenyewe automatically nashindwa kujizuia jamani hii ni tatizo au ni hali ya kawaida??.
Labuda tezi dume zako ziko hai sana
 
Habari zenu wana Jf

Nina tatizo moja hivi yaani kila nikiaanza kuingiwa na hofu huwa najikuta shatoa manii napiizii yanatoka yenyewe automatically nashindwa kujizuia jamani hii ni tatizo au ni hali ya kawaida??.
Ifungie kwenye kibuyu kama watu wa kule New Papua Guinea.
 
Jamaa unanikumbusha mbali sana wakati wa mitihani ya O level iyo hali ilikuwa inanitokea haswa kama sijabeba Saa ya mkononi, msimamizi akisema ten minutes basi ndo inatokea
 
Habari zenu wana Jf

Nina tatizo moja hivi yaani kila nikiaanza kuingiwa na hofu huwa najikuta shatoa manii napiizii yanatoka yenyewe automatically nashindwa kujizuia jamani hii ni tatizo au ni hali ya kawaida??.

Ni ugonjwa wa akili (udhaifu) utokanao na kuangalia sana sinema za ngono ama wanyama, ndege, wakilawitiana. Ushauri, uache huu mchezo mara moja, umeshakuwa tayari.
 
Hiyo ni hali ya kawaida, hata mimi ilishawahi kunitokea kipindi niko shule nafanya mtihani, msimamizi akitaja dakika za majeruhi bado dakika 5,4,3,2 au 1 halafu ukute sijamaliza maswali na mtihani ulikuwa jiwe basi najikuta mzee baba kashafanya yake kutokana na hofu
Ilinitokea mtihani wa form Six ndani ya chumba cha mtihani piga maswali hayapigiki, ghafla kitu kikaruka, zikamwagika.

Baada ya kumwaga akili ikatulia na nikamalizia pepa vizuri kabisa.

Hivyo ni namna fulani automatically ya mwili kukwambia "rafiki ebu tulia, ondoa tension/stress, haya rudi sasa kwenye utulivu wa mwili/akili ,calmness",ambayo ndio level nzuri zaidi ya kusolve mambo.

Kwa wanaofanya meditation, hii ni meditation inayofanywa na subconscious mind bila control yako. Baada ya hapo hali ya utulivu wa kipekee utokea.
 
Ni kipururu tu kinakua kinawasumbuaa...
Mngekua mnakojozana at least twice a week huwez kuona iyo kitu tenaa
 
Back
Top Bottom