Kila nikiingiwa na hofu natokwa manii. Je, ni hali ya kawaida au ugonjwa?

Kumbe eee? nilikuwa sijui kama ni meditation
 

duh kumbe siko pekeyangu hata mimi ili wainitokea mala kadhaa kwenye mtian kipindi wakitaja dakika za mwisho kutupiga stop huku nimebanwa mkojo na hofu ya kumalizia ma swal sio sili bas wazungu uku chini walikua wana chomoka badala ya mkojo
 
Habari zenu wana Jf

Nina tatizo moja hivi yaani kila nikiaanza kuingiwa na hofu huwa najikuta shatoa manii napiizii yanatoka yenyewe automatically nashindwa kujizuia jamani hii ni tatizo au ni hali ya kawaida??.
Wewe una nyota ya fisi maji
 
Zinatoka kimyakimya au unaisikia na ladha...?
Ikitoka na ladha si atapata shambulio la aibu.
Ile ladha ni tamu kinyama hadi viwete huwa wanasimama baada ya muda nguvu zinamuishia.
 
Ilinitokea nilipokuwa nafanya mtihani wa fom four nilijimwagia na utam nikausikia, ni hali ya paniki ambayo imezidi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…