Kila nikiingiwa na hofu natokwa manii. Je, ni hali ya kawaida au ugonjwa?

Hiyo ni hali ya kawaida, hata mimi ilishawahi kunitokea kipindi niko shule nafanya mtihani, msimamizi akitaja dakika za majeruhi bado dakika 5,4,3,2 au 1 halafu ukute sijamaliza maswali na mtihani ulikuwa jiwe basi najikuta mzee baba kashafanya yake kutokana na hofu

sasa unakojoa bila mashine kudinda ? au inadinda kwanza ? huu ugonjwa mkatibiwe jaman
 
Ni hali ya kawaida ata mimi imenitokea O level na ata wakati niko Chuo
 
Mi haswaa nikiwa naendesha gari,nikifika spidi kuanzia 120 kuendelea najikuta nshamwaga wazungu
 
Hiyo ni hali ya kawaida, hata mimi ilishawahi kunitokea kipindi niko shule nafanya mtihani, msimamizi akitaja dakika za majeruhi bado dakika 5,4,3,2 au 1 halafu ukute sijamaliza maswali na mtihani ulikuwa jiwe basi najikuta mzee baba kashafanya yake kutokana na hofu
hali hii pia imenitokea sana hasa nilipokuwa nafanya UE dah
 
Sorry,,,Nina swali hapo,,Wakati zinatoka unakua unajiskia utamu?? Kama zinapotoka Wakati wa sex?
 
Back
Top Bottom