granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 3,249
- 7,948
Mimi nilipo huku watu wakitaka kuhama au kuupgrade vitu vya ndani, huwa wanaacha TV, sofa , na vitu vingine nje. Mimi TV yangu niligawa bosi, gari ya kwanza huku nilipo nilipewa bure.
Kuna jirani yangu hapa, katupa TV yake kwenye dustbin jana. Ningekupigia picha uone.
Labda exposure ndio inanifanya nionekane nina dharau. Labda exposure ndio inanifanya nione kuchepuka ni kosa, haijalishi kalifanya nani. Labda exposure, ndio inanifanya niwe na mtazamo huu. Labda exposure ndio inanifanya niweze kucritique hii story kwa jicho hilo.
Vyovyote vile, sitaki argument za matusi. Ukinitukana tena, nakureport.
Kama huko mnatupa TV Kwenye dustbin na sisi huku tunatupa wali uliobaki Kwenye dustbin , ant we even???