Kila nikijaribu kumsamehe/kuwasamehe nashindwa



Kama huko mnatupa TV Kwenye dustbin na sisi huku tunatupa wali uliobaki Kwenye dustbin , ant we even???
 
Umeshinda mkuu Akanyambasira, wasalimie Kamachumu.
Huna lolote exposure exposure my ass, kumbe gari ulipewa, wanaume mwenzako wanajisifi Kununua gari we unajisifu kupewa, we ni.....au? Kwa kifupi hata ueleweki maana kila ukireply unakuja na mengine, acha kubadili gia angani.
 
Msamehe tu uwe huru moyoni mwako hata hivo s ushaamua kuendelea na maisha yako sasa kinachoufanya ushindwe kuwasamehe ni nn??

Acha dunia iwafunze barabara ww lea wanao tu wakikua watamtafta mama yao wakipenda lakini wasamehe
Story ni ndefu.
NIME ISOMA YOTE.
Hawa wanawake ni shidaaaa.

BORA ALI KATAA SHULE,
ANGELIPATA AJIRA YAKE, UNGE JUTA MKUU.
 
Nilikuwa na mawazo kama yako lakini sikutaka mapovu ya watu na mabishano......

Nikawaza ina maana nimeona mimi tu tofauti!?
Mvunja ndoa ni mwanandoa,ndoa na iheshimiwe jamani....
 

Umeongea ukweli kabisa huyu hata akija kuoa tena bado atalipa tu huyo mke wake mpya anaweza mfanyia cha ajabu akaona heri yule wa kwanza ukishakaribisha shetani kwa maisha jua tu utacheza nae ngoma tu. Shetani kazi yake ni kuharibu na kuua tu hana jema kabisa na anafurahi sana ndoa zikisambaritika
 
Ok pole kwa yote....ila ukipata mwanamke mwingine usirudie tena,michepuko inaharibu sana ndoa,wewe unaweza kuona ni kitu kidogo ila mwenzio hawazi hivyo....msamehe uwe na amani moyoni!
 
Umeshinda mkuu Akanyambasira, wasalimie Kamachumu.


Sawa mkuu ila siku nyingine jifunze kubalanve shobo maana mwanzoni umeanza kwa kumdharau mwana na TV zake alizonunua kwa jasho lake..hapa mwishoni ukaja kijivua Nguo kuwa uliongwa gari...hahahahaaaa
 
Ulichokifanya ndugu yetu sio ukatili bali ni fundishp kwa wanawake wengine wenye tabia kama hizo. Agiza Novida nakuja kulipa.
 
Aiseee!!
 
Wanawake wengine basi tu wanasababisha wanawake wote kuoneka kama yeye. Dunia inawapa adhabu wanayostahili
 
Si alisema pale mke wake alikuwa na hasira kuhusu ule mchepuko wa jamaa
 
Ya kuondoka gafla anaijua Mungu, suppose hao watoto ndo wakatanguli kuondoka, kikubwa jamaa amsamehe ila asirudiane nae huyo n shetani
 
Hii point nimemuonesha mke wangu na kumsomesha kisa kizima kwa sababu anamsikiliza mama yake na anamuona ni dira ya dunia kama vile dochi veree na imefikia point wanajenga kisiri siri mama yake ndo mkandarasi ila mimi najenga mali za familia anyway ngoja jipu langu nami likitumbuka nitakuja na uzi mrefu kama huu.ASANTE MTOA MADA NATAMANI WANAWAKE WOTE WA JF WANGESOMA HII HADITHI YAKO.
 
Aisee we n konki
 
Haina neno mkuu, na wewe next time jifunze kuwa na maneno mazuri, na sio kunitukania dada yangu.

Na kuhusu hilo swala la gari, nimeonesha tu jinsi utu ulivyo na thamani kuliko vitu.

Hii ndio meseji yangu ya mwisho in a polite way, ukinijibu kingese ngese naanza. Maana naona kama nimekustahi halafu unaleta pigo ajabu.

Sawa mkuu ila siku nyingine jifunze kubalanve shobo maana mwanzoni umeanza kwa kumdharau mwana na TV zake alizonunua kwa jasho lake..hapa mwishoni ukaja kijivua Nguo kuwa uliongwa gari...hahahahaaaa
 
Nilishuhudia Mwanamke aliekwenda kuazima shoka kwa jirani kisha akapasua vyombo na thamani za nyumba nzima aliposikia mumewe ana mpango tu wa kuongeza mke wa pili. Jamaa alikuwa ni mfanyabiashara mkubwa sasa imagine thamani za ndani, kitu Sony Bravia 50 inch curve mpya kabisa ilipigwa shoka chali kifo cha mende...…..Pale ndio niliposema kweli mwanamke ni jalala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…