masulupwete na malapulapu
Senior Member
- Jul 27, 2019
- 149
- 290
Ila kuangalia video za kina Menina za dk 3 unawezaNi Ngumu Sana Kusoma Story Yako Mwanzo Hadi Mwisho.
•Samahani Kwa Hilo.
Apo mwanamke sidhani Kama anataka msamaha Bila kurudiana
Hakika!Suala la kurudiana hilo lisiwepo ila tu huyu kaka anaweza kuwasamehe kimya kimya akaendela na shughuli zake
Mkuu, kwenye maisha sote tumetendwa uovu kila mtu anaona ni heri asisamehe tu lakini hatujui tusiposamehe moyoni bado wanakua wanaishi tena saa zingine nafsi hufurukuta kwa hasira lakini ukikubali hali na kusamehe unakua sawa moyoni huna kisasi tena
Daaaah....nmesoma kila neno uliloandika...ni uhondo juu ya uhondo....nashauri utoe kitabu kabisa ....
Hz ndoa hz duuh.....wanawake wasomi wasumbue, na wasio wasomi pia wasumbue...mambo n balaaa
Boss umeisoma yote? Kuna la kujifunza hasa hayo yote yaliletwa na sms ya mchepuko