Bazazi
JF-Expert Member
- Aug 18, 2008
- 2,806
- 3,485
Mkuu David HarleyKama mtu hajawahi changamoto kama hizi anaweza kudhani ni hadithi za kutunga.
Tena afadhali wew maumivu yako sio makubwa kama yangu, story kwa ufupi mke wangu kwa kushirikiana na familia yake waliuza kila kitu nyumba hadi gari na mtoto niliambiwa sio wangu na kweli mtoto alikuwa sio wangu kuja kufuatilia kumbe nilioa mwanamke akiwa na ujauzito wa mwezi mmoja.
Baada ya miezi 2 kurudi Tz kupeleleza nikagundua mwanamke yupo kwa bwana ake aliyemzalisha uyo mtoto.
Nikafungua kesi ya wizi mahakamani, mpka muda muda huu ndugu wa mwanamke, mwanamke mwenyewe pamoja na bwana ake wapo segerea mwaka 1.5 huu na warudishe mali zangu zote
Unaonaje ukiianzishia uzi wake baada ya kuipa nyama ya kutosha?
Bazazi