Kila nikikumbuka aibu niliyoipata sitamani tena hata kuonana na yule binti

Ungeamua kutafuta maji upaoshe, yaani ungetoka na ndoo ya chooni huku ukilaani kile kitendo angekuelewa.

Ila anaweza tu kujua siyo wewe kama ni mwelewa
Mimi sikuwa tayari kusafisha kitu cha mtu mwingine, lengo langu lilikuwa niondoke tu niache kama palivyo, ila siku ya aibu ikija haina sababu na nilikubali kudhalilika maana najua alijua ni mimi tu.
 
Mkuu hatakama ningesema hivyo, bado mimi ndyo wa mwisho kutoka na nirahisi kwake kuona kama nadanganya.
Ila kama mazingira yalikuwa ya bush bush kidogo atakuwa alijiongeza tu kwamba sio wewe ulieacha huo mzigo, so usimuonee aibu.
 
Yeye vipi aliendelea au vipi,kimba ni kitu cha kawaida sana na watu wanalamba Hadi kinakotokea wala usijstukie endelea na mambo yako kama unamtaka,Tena yeye alikuona ndo maana akaja!
 
Yeye vipi aliendelea au vipi,kimba ni kitu cha kawaida sana na watu wanalamba Hadi kinakotokea wala usijstukie endelea na mambo yako kama unamtaka,Tena yeye alikuona ndo maana akaja!
Mkuu mimi baada yakipishana naye wala sijageuka nyuma na nilipotea kabisa maeneo yale.
 
Kwa kua ulikua na Nia ovu ya kumtaja ndugu yako Kwa mahitaj ya zinaa Mungu ndo aliamua akutenganishe naye Kwa iyo njia
 
😹😹😹😹😹😹😹 Ata mm ningejua ni ww ila si Bora ungesema chooni sio kusafi kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…