Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Yani mtu kahitimu chuo ana miaka 6 ama 5 anaenda kufanya interview na watoto aliowafundisha shule kipindi yupo field ama aliowaacha shule muda mrefu
Yani mtoto kamaliza juzi chuo anaenda kula ajira kwakuwa kafaulu interview na Hana muda mrefu kumaliza chuo bado ubongo wake umejaa material ya shule na hana stress zozote za mtaani kweli maisha haya sio Fair kabisa
Basi sawa kama wameamua interview basi wangezingatia na miaka ya kuhitimu ila kupunguza kundi lililokaa mtaani muda mrefu