Unafiri kujiajili ni rahisi ?? ,,, watu biashara zinakufa ,, mitaji inazama ,,, kwenye business miaka 5 ni michache sana kukupa picha kamili ya muelekea wa biashara yako na maisha kwa ujumla ( nikiwa na maana kuoa na kuweza kuendesha familia kama baba )..
Fanya research ndogo tu hapo kitaa kwenu ,, ni biashara ngapi zimeweza ku-survive for 5 years ?? ,,, hii inatakupa picha kamili ya nilichoandika hapo juu ,,
Point yangu ni kuwa most graduates kuanzia waliomaliza 2015 mpaka sasa bado hawajajipata na wengi bado wanazitegemea hizo ajira asikwambie mtu ,, the fact that they are not yelling on social networks it doesn't mean that they are happy and they are no longer need those jobs any more ,,, ni vile tu wameamua kukaa kimya na kuendele kujaribu kuomba tena na tena kimya kimya ..