Kila nikikumbuka ajira za ualimu nazo zina interview Sasa hivi nachanganyikiwa basi wangezingatia na miaka ya kuhitimu chuo

Kila nikikumbuka ajira za ualimu nazo zina interview Sasa hivi nachanganyikiwa basi wangezingatia na miaka ya kuhitimu chuo

Watu mnazungumzia kukaa mtaan miaka 5?

Nimehitimu chuo 2015,, mpaka muda naandika hapa nipo najishughulisha n biashara ya miwa.

Interview hata nikiitwa sitaenda maana sikumbuki chochote .

Ila naamin nikiajiriwa nitahitaji week mbili tu kuwa vizuri na hakuna atakayenikaribia kwenye uchapaji kazi Kwa sababu nafaham ilivyo kazi kupata kazi.
 
Swala la umri nalo walipe kipaumbele aisee..kuna jamaa kamaliza chuo 2009 na sasa anaumri wa miaka 43 kabakiza miaka 2 Dirisha la usajili lifungwe kwenye swala la kuajiriwa serikalini.Ajira za hv karibuni nazo amejaribu kuomba tena na anasema mpaka dirisha la usajili lifungwe ndo atainua mikono juu....Huyu unaenda kumshindanisha... sisemi kushindanisha ni jambo mbaya hapana unamshindanisha na aliyemaliza chuo mwaka jana mi nadhani CV yake huyu ndo ingempitisha kwa sababu hata akiajiriwa kabakiza miaka 17 tu ya kustaafu nalo hili waliangalie sana.
Hana CV ya maana kwani uzoefu kupata wapi?

Pili Tija yake ni ndogo ameshazeeka ,ila ingekuwa ni kazi za Ufundi basi huyo ndio angekuwa na soko.
 
Yaani wao hawajali chochote hapo wanawaza perdiem tu wajipigie katika hili Zoezi. Saa hizo ukiniuliza hupendi Nini hapa Tanzania, nitakwambia CCM na mambo yake yote.
Wahitumu wa mwaka 2015 ,, 2016 mpaka 2020 wengi ukiwaona wamekatana tamaa ,,, giza la kupata kazii serikalini linazidi kutandaa kadri siku zinavyoenda ,,, tena hali inazidi kuwa mbaya kwa wale wa jinsia ya kiume ,, wapo 6 naowajua ukweli wamekata tamaa jamii inawashambulia kwa maneno dharau na kashfa za kila aina ,,, hawana familia hawana mbele wala nyuma kuna muda hata hawatamani watu wajue kama ni wahitimu wa chuo wenye degree zao

Sema sasa hamna lakufanya kuwasaidia watu hawa labda kuwaombea tu ukweli ukizuia ajira za majeshi yetu ya ulinzi na usalama na ajira za ualimu basi jua umeumiza mamilioni ya watoto wa masikini au watu wenye kipato cha chini..
 
Wahitumu wa mwaka 2015 ,, 2016 mpaka 2020 wengi ukiwaona wamekatana tamaa ,,, giza la kupata kazii serikalini linazidi kutandaa kadri siku zinavyoenda ,,, tena hali inazidi kuwa mbaya kwa wale wa jinsia ya kiume ,, wapo 6 naowajua ukweli wamekata tamaa jamii inawashambulia kwa maneno dharau na kashfa za kila aina ,,, hawana familia hawana mbele wala nyuma kuna muda hata hawatamani watu wajue kama ni wahatimu wa chuo wenye degree zao

Sema sasa hamna lakufanya kuwasaidia watu hawa labda kuwaombea tu ukweli ukizuia ajira za majeshi yetu ya ulinzi na usalama na ajira za ualimu basi jua umeumiza mamilioni ya watoto wa masikini au watu wenye kipato cha chini..
Muda si mrefu tutaanza kusikia mtu kajitoa muhanga Tena anasubiri mkutano mkubwa kabisa wa yeyote. Mtu Hana mbele wa nyumbani anaachaje kusepa na nyomi ya watu??. Ukikosoa hadharani napo yanakukuta ya kina Soka na wengine
 
Pongezi Kwa John mjenga SGR 😆😆😆😆

Ni mda wa kupanda Sgr badala ya Kulalamikia ajira,
John aliharibu sna mfumo ,,, john aliwatoa kafara wahitimu wa mwaka 2015 mpaka 2018 ,,, maana john hakuajiri kwa kipindi cha miaka 3 streight na hata alipoanza hakuwa na huruma wala hakutaka kuwakumbuka wahitimu wa miaka hiyo tajwa ..
 
Ukiona MCHUJO, maana yake wahitaji wengi ila wanaohitajika ni wachache, hivyo mnatafutiwa sababu.

Ajira pekee zilikuwa hazina tabu ni udaktari na ualimu, huko nako kushaanza kujaa, michujo ni must.

Serikali haisaiidi kutengeneza ajira mpya.. Vyuo vinatema wahitimu wengi mnoo, ila nafasi za kuwapokea ni chache mnooo
 
Mimi ñawashauri wale jamaa zangu wasio na uhakika wa kupita kwenye hiyo interview yao, wakiitwa wawajibu majibu ya jeuri tu ili hata wakikosa; wasijutie. Maana siku zote dawa ya ujeuri ni kiburi. 😞
 
Kwani Kuna mwenye uhakika mkuu??
Mimi ñawashauri wale jamaa zangu wasio na uhakika wa kupita kwenye hiyo interview yao, wakiitwa wawajibu majibu ya jeuri tu ili hata wakikosa; wasijutie. Maana siku zote dawa ya ujeuri ni kiburi. 😞
 
Kwenye ajira umri wa kuzaliwa ndiyo unazingatiwa siyo umri wa kumaliza chuo.
Aidha mwajiri makini hawezi kuajiri mtu mwenye GPA ya 2.6 akaacha mwenye GPA ya 4.3
Ukienda chuo usiende kukariri nenda kapambane uelewe kumbuka ujuzi hauzeeki.
Hatahivyo wakati umefika serikali ipitie upya sheria na sera ya ajira ili watumishi wenye masharti ya kudumu wawe wachache coz unakuta mtumishi kakaa kwenye ajira miaka 34 alafu workdone ni sawa angefanya kazi kwa miaka 19 tu
 
Hivi mnaogopa Usaili wa nini

Watu wa kada zingine wanapambana miaka yote na hakuna kelele na wanapata wengi tu

Komaeni, Usaili wala hautishi, nenda pale ukaone watu wa account wanaiga interview wana miaka 10 toka wamalize na wanatoboa
 
Nusu ya hao watakao ajiriwa lazima watakuwa tu na uhakika, kupitia kitu kinachoitwa connection.

Utumishi kweli wanaajiri watoto wa masikini ila Connections zipo mimi mwenyewe shahidi, kuna watu walifeli usaili(inajulikana na wengi) na wakaajiriwa kwa nguvu ya CEO.

Huwa nawatazama wanavyovimba unasema hamna kitu
 
Aidha mwajiri makini hawezi kuajiri mtu mwenye GPA ya 2.6 akaacha mwenye GPA ya 4.3
SI KWELI

Utymishi anaita wote, mtihani utawachuja tu, wengi tu wa 2.6 wanaajiriwa vizuri.

4.3 hawezi kujieleza ataajiriwaje??
 
Back
Top Bottom