Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Yani mtu kahitimu chuo ana miaka 6 ama 5 anaenda kufanya interview na watoto aliowafundisha shule kipindi yupo field ama aliowaacha shule muda mrefu
Yani mtoto kamaliza juzi chuo anaenda kula ajira kwakuwa kafaulu interview na Hana muda mrefu kumaliza chuo bado ubongo wake umejaa material ya shule na hana stress zozote za mtaani kweli maisha haya sio Fair kabisa
Basi sawa kama wameamua interview basi wangezingatia na miaka ya kuhitimu ila kupunguza kundi lililokaa mtaani muda mrefu
Duh....hatari hiyo.Yani mtu kahitimu chuo ana miaka 6 ama 5 anaenda kufanya interview na watoto aliowafundisha shule kipindi yupo field ama aliowaacha shule muda mrefu
Yani mtoto kamaliza juzi chuo anaenda kula ajira kwakuwa kafaulu interview na Hana muda mrefu kumaliza chuo bado ubongo wake umejaa material ya shule na hana stress zozote za mtaani kweli maisha haya sio Fair kabisa
Basi sawa kama wameamua interview basi wangezingatia na miaka ya kuhitimu ila kupunguza kundi lililokaa mtaani muda mrefu
ajira nyingi wangekua wanaangalia na umri pia. mtoto wa miaka 25 ana ajira kaka zake wana miaka 35 bado ngoma inasoma asian handicap -1.5Yani mtu kahitimu chuo ana miaka 6 ama 5 anaenda kufanya interview na watoto aliowafundisha shule kipindi yupo field ama aliowaacha shule muda mrefu
Yani mtoto kamaliza juzi chuo anaenda kula ajira kwakuwa kafaulu interview na Hana muda mrefu kumaliza chuo bado ubongo wake umejaa material ya shule na hana stress zozote za mtaani kweli maisha haya sio Fair kabisa
Basi sawa kama wameamua interview basi wangezingatia na miaka ya kuhitimu ila kupunguza kundi lililokaa mtaani muda mrefu
Acha ubinafsi mwalimu, usaili huu umefeli ila ujao jiandae vyema nawewe utafauluYani mtu kahitimu chuo ana miaka 6 ama 5 anaenda kufanya interview na watoto aliowafundisha shule kipindi yupo field ama aliowaacha shule muda mrefu
Yani mtoto kamaliza juzi chuo anaenda kula ajira kwakuwa kafaulu interview na Hana muda mrefu kumaliza chuo bado ubongo wake umejaa material ya shule na hana stress zozote za mtaani kweli maisha haya sio Fair kabisa
Basi sawa kama wameamua interview basi wangezingatia na miaka ya kuhitimu ila kupunguza kundi lililokaa mtaani muda mrefu
Bora ungekaa kimya tu usingepungukiwa na chochote.Acha ubinafsi mwalimu, usaili huu umefeli ila ujao jiandae vyema nawewe utafaulu
Mmh hatariYani mtu kahitimu chuo ana miaka 6 ama 5 anaenda kufanya interview na watoto aliowafundisha shule kipindi yupo field ama aliowaacha shule muda mrefu
Yani mtoto kamaliza juzi chuo anaenda kula ajira kwakuwa kafaulu interview na Hana muda mrefu kumaliza chuo bado ubongo wake umejaa material ya shule na hana stress zozote za mtaani kweli maisha haya sio Fair kabisa
Basi sawa kama wameamua interview basi wangezingatia na miaka ya kuhitimu ila kupunguza kundi lililokaa mtaani muda mrefu
PoleniYani mtu kahitimu chuo ana miaka 6 ama 5 anaenda kufanya interview na watoto aliowafundisha shule kipindi yupo field ama aliowaacha shule muda mrefu
Yani mtoto kamaliza juzi chuo anaenda kula ajira kwakuwa kafaulu interview na Hana muda mrefu kumaliza chuo bado ubongo wake umejaa material ya shule na hana stress zozote za mtaani kweli maisha haya sio Fair kabisa
Basi sawa kama wameamua interview basi wangezingatia na miaka ya kuhitimu ila kupunguza kundi lililokaa mtaani muda mrefu
Wa miaka 25 ni productive kuliko hiyo Mzeeajira nyingi wangekua wanaangalia na umri pia. mtoto wa miaka 25 ana ajira kaka zake wana miaka 35 bado ngoma inasoma asian handicap -1.5
mmeanza. muwe na huruma na wazee wenzangu niliowaacha bongo mutasababisha watu wafe na misongo ya mawazo. kazi na umri. wa 25 bado akili haijakomaa.Wa miaka 25 ni productive kuliko hiyo Mzee
Yaani wao hawajali chochote hapo wanawaza perdiem tu wajipigie katika hili Zoezi. Saa hizo ukiniuliza hupendi Nini hapa Tanzania, nitakwambia CCM na mambo yake yote.tukiweka ushabiki pembeni ,,, hili swala ni kama serikali inajaribu kuwa ambiwa walimu kuwa walimu waliomaliza na kukaa miaka 5 6 mpaka 7 mtaani ,, watafute shughuli nyingine kwenye fani ya uwalimu hawaitajiki tenaaa ,, lakini sasa ndiyo hivyo tena serikali inashindwa lugha ya moja kwa moja ya kuitumia,, serikali inatamani ikianza kuajili vijana wa 2020 kuja juu basi ila sasa ndiyo hivyo huwezi kuwaambia watu wasiombe utanyanyua mjadala mzito sanaa
Unajua mfano mtu aliyemaliza let say 2017 ,, leo hii unaenda kumuuliza swali la course may introduction to psychology ,,, course hii huyu mtu aliisoma 2014 au 2015 sasa leo unaenda kumlazimisha akumbuke mambo aliyosoma miaka 7 nyuma na kuangalia kama kweli yupo compitent katika hilo eneo bila kujali other factors like time ,, na mambo mengine mengi,,, is like wame - assume huyu mtu toka alipomaliza yupo costant yani hajishughulishi na jambo jingine lolote isiokuwa shule tu ukwel interview ishakosa realibility...
Pongezi Kwa John mjenga SGR ππππtukiweka ushabiki pembeni ,,, hili swala ni kama serikali inajaribu kuwa ambiwa walimu kuwa walimu waliomaliza na kukaa miaka 5 6 mpaka 7 mtaani ,, watafute shughuli nyingine kwenye fani ya uwalimu hawaitajiki tenaaa ,, lakini sasa ndiyo hivyo tena serikali inashindwa lugha ya moja kwa moja ya kuitumia,, serikali inatamani kuajili vijana wa 2020 kuja juu basi ila sasa ndiyo hivyo huwezi kuwaambia watu wasiombe utanyanyua mjadala mzito sanaa