Kila nikikumbuka CHADEMA walivyowapigania Halima, Bulaya na Matiko kuwatoa jela nauona Upinzani ni Ubatili mtupu!

Mlevi akiwa amelewa huongea kweli yote.
Leo tumejua kazi ya wasiojulikana kupitia mlevi wa maji ya bendera ya kijani mwee
 
Acha kuongea taka taka wewe kuku. Wale ni wabunge wa spika CDM iliwafukuza mda mrefu Sana
 
Kaunda alipokubali kushindwa hivi alibezwa namna gani. Fursa hiyo aliyoitoa Kaunda ndiyo inafanya uchaguzi wa Zambia uwe kama kama unavyokuwa, laini angelazimisha kukaa madarakani (alikuwa na jeshi, polisi, usalama wa taifa na vyombo vyote) leo usingeona transition ya madaraka huko Zambia. May be Tanzania missed such an opportunity in 1995 under the influence of Mwalimu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…