Kila nikikumbuka hili tukio la Hostel ya Mabibo UDSM huwa Nakosa imani!

wakati wapo advance wanaambiwa mapenzi mtayakuta chuo
 
Mkuu ktk story zote za mabibo hostel umeamua kuleta hii? Siku nyingine tafuta nzuri au nenda kwa wapemba au hospital pale wakakupe story za hostel
Mkuu kizuri kwako kwangu chaweza kuwa kibaya..
 
Nimekuja mbiooooo kumbe UMBEYA NA KUFATILIA MAISHA YA WATU...
 
Acha kupotosha umma
 

Aachane na utajiri wa wazazi aingie mtaani ikiwezekana angepanga ghetto then acjitambulishe kwa dem familia yake angefanikiwa zaid tatizo yeanatumia mali kama ulimbo ndo tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…