- Thread starter
- #41
Bonge la Neno!Aachane na utajiri wa wazazi aingie mtaani ikiwezekana angepanga ghetto then acjitambulishe kwa dem familia yake angefanikiwa zaid tatizo yeanatumia mali kama ulimbo ndo tatizo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bonge la Neno!Aachane na utajiri wa wazazi aingie mtaani ikiwezekana angepanga ghetto then acjitambulishe kwa dem familia yake angefanikiwa zaid tatizo yeanatumia mali kama ulimbo ndo tatizo
Mkuu waliachana!Story haijaisha vizuri yani imeisha kistarabu sana tofauti na matarajio
Hebu eleza vizuri taratibu hasa mwisho wa spika wa daruso na good taster
Wee darasa la 5 hostel za mabibo ulizijuaje?Mkuu waliachana!
Hahaha Mkuu si nikiwa naenda shule nazipita pale jamani!Wee darasa la 5 hostel za mabibo ulizijuaje?
Hahaaa hao wakishua walikuwaga wajinga sana !Ungemwambia apaki gari aanze kukata shato pori daily na aanze kula misosi kwa mama mwarabu pale.
Angepata wenye mapenzi ya dhati.
Sio kila siku unatembelea gari halafu misosi yako unakula kule complex, unategemea nini.
Si utapata tu gold diggers??
Afuuuuu wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha Mkuu si nikiwa naenda shule nazipita pale jamani!
Ahahah sema mkuu nina swali!Afuuuuu wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe sio story teller improve basi iseeMaisha ya wanachuo huwa yana Maigizo Mengi hasa kwa Dada zetu, leo nakumbuka tukio Moja la Mwaka 2010 Pale Hosteli za Mabibo za Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Block D
Nikiwa Pale Hostel ya udsm mabibo nilikaa na mshikaji mmoja room moja, alikuwa first year mimi nikiwa second year.. Huyu bwana mdogo alikuwa wa kishua haswa na alikuwa na maisha mazuri katika nyanja ya kiuchumi..
Huyu bwana Alinunuliwa Gari na wazee wake ili route za chuo na mabibo ziwe rahisi wala asipate purukushani za kwenye Shuttle (Mabasi ya Mabibo to campus)!
Akatokea kupendana na Bidada mmoja Huko kwenye kitivo chake (Alikuwa akisoma Udsm Business school.. Mapenzi yao yaliendelea vyema mpaka muda wa Uchaguzi wa DARUSO, Baada ya Uchaguzi kukamilika yule demu wake akafanikiwa kuwa spika wa Bunge la DARUSO.. Mambo yakaanza kubadilika demu akaanza kum ignore Mshikaji, na hapo mshikaji keshampeleka Route nyingi za Mcity.. Cinema kampeleka sana na Mshikaji anadai hajawahi piga mzigo!
Basi ukishakuwa kiongozi wa DARUSO kula ni bure cafeteria zote za chuo na makazi ya Uhakika Demu Akampiga Mshikaji chini, Hakuamini!
Wiki Mbili Nyuma Baada ya uchaguzi kuisha kuna wale ma food taster mara nyingi huwa ni mwanamke na mwanaume, sasa mara nyingi mimi huwa nakula cafe demu mmoja food taster akanitonya kuwa Vipi mchizi ana demu? Nikasema kwa kweli sijui.. Ee bwana kumbe demu katafuta namba ya Mshikaji na akaanza kumseduce Mshikaji.. mimi nakuja kushtuka siku demu kaniachia simu yake na naona Namba ya Mshikaji ikituma text "Babe lets have a Lunch", nikajifanya sijaona.. Kumbe Manzi alinistukia kuwa nishaona tayari!
Akaja akafunguka mwenyewe kuwa Mshikaji na yeye sasa ni wapenzi nikajifanya kustuka.. naenda room mwana naye akanichana kuwa demu ni manzi ake na ako naye sasa!
Siku Moja akamsindikiza demu maeneo ya Jeshini-Mabibo alipotoka huko akamwambia demu kwamba "Nina mtu wangu, lets Break Up" demua akamwambia Fresh.. baada ya kuachana na huyo Food taster ndipo akapigwa chini na demu wake ambaye amekuja kuwa Speaker wa Bunge la DARUSO!
Siku ya siku huyo demu Food taster ananipigia simu kwamba mwana anambembeleza eti warudiane.. alikosea na kukurupuka kumwambia waachane.. kwa kuwa demu ni mshikaji wangu ananiambia kamkazia.. hakumpenda ila Alipenda kuwa na uhakika wa lift ya Mabibo mpaka chuo, mshikaji si ana Gari bwana!
Dogo akawa ananilalamikia everytime.. akawa ananiambia Bro kwa hii situation ambayo kila mwanamke anakuja kwangu akiwa na intetion ya material nitapata Mapenzi ya dhati kweli? nitaaminije kuwa mwanamke ananipenda mimi na sio vitu vyangu?.. Nilishindwa Kumjibu!
Hebu wewe uliyewahi kuwa katika Hii hali shauri ulipataje mapenzi ya dhati katika scenario kama hii?.. na Nyinyi wanawake kama mtu humpendi kwanini ujilazimishe kuwa naye kisa tu ana material things?
Santana