Kila nikikumbuka hili tukio la Hostel ya Mabibo UDSM huwa Nakosa imani!

Aachane na utajiri wa wazazi aingie mtaani ikiwezekana angepanga ghetto then acjitambulishe kwa dem familia yake angefanikiwa zaid tatizo yeanatumia mali kama ulimbo ndo tatizo
Bonge la Neno!
 
Story haijaisha vizuri yani imeisha kistarabu sana tofauti na matarajio

Hebu eleza vizuri taratibu hasa mwisho wa spika wa daruso na good taster
 
Ungemwambia apaki gari aanze kukata shato pori daily na aanze kula misosi kwa mama mwarabu pale.
Angepata wenye mapenzi ya dhati.

Sio kila siku unatembelea gari halafu misosi yako unakula kule complex, unategemea nini.
Si utapata tu gold diggers??
Hahaaa hao wakishua walikuwaga wajinga sana !
 
Nilikuaga Nataman kinoma kuwa na demu pale. Nikawa naogopa. Sikua na hela na pamba kali.
 
Wewe sio story teller improve basi isee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…