mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 7,894
- 22,679
Sijui kwanini Malawi inaelekeza matumaini yake kwa hao Hususani wa Russia...
Mara ohh sijui Malawi haichaguliwi maadui wala marafiki... Ni sawa lakini maslahi ya Taifa yapo at stake... Mchina mfano binafsi sioni akiifaidisha Tanzania kama closed partner... Ona bidhaa feki zimetapakaa huko Lilongwe na kila Kona...
Anyway sitaki kusema sana ....maana watu washasema....
NB: mrusi sio wa kumtegemea sana......Maduro anajutia sana 🫵🫵😎😂