Kila nikikumbuka visa vya Mama Mwenye Nyumba, Kanyenye (Tabora) sirudi tena

Kila nikikumbuka visa vya Mama Mwenye Nyumba, Kanyenye (Tabora) sirudi tena

Ngoja nifanye mpango niamie Kanyenye Tabora. Mkuu utanielekeza hiyo nyumba uliyokuwa ukiishi.
Ni karibu na shule ya msingi kazembe, mtaa unaotokea barabara ya kitete adjacent na Msikiti ulizia Kwa mama vishenshede
 
Tabora napajua sana huo mkoa ni kama mikoa ya pwani kwa kila kitu,watoto wa kike wazurii ,wanamaisha magum na wajachowaza ni mapenzi tuuu ikigusa razima unase
Ni kweli mkuu, nilikaa miezi mitano lakini Ni noumaa.
 
Hahahahaa sitasahau siku moja tukutuku tuko na wasichana wa girls tunafuata maji.aisee walambo walitutoa ndukii[emoji23] [emoji23] [emoji23] . I missed those days lol..
Tukutuku watu tulikuwa tunaenda na suruali moja tu,unaifua unaanika ikikauka unaifua tena mradi tu uendelee kuona mawoso.Kutongoza domo zege basi wala kwa macho tu...Boys ilikuwa raha sana.
 
😂😂mzee baba umepotelea wapi ndugu???
 
Ni karibu na shule ya msingi kazembe, mtaa unaotokea barabara ya kitete adjacent na Msikiti ulizia Kwa mama vishenshede
Mie nadhani ulikuwa yule mama muuza fimbo kubwa((gongo)) anajulikana kwa kanga moko
 
Hahahahhahaa kanyenye tabora umenikumbusha mbali sana
 
Ila tabora wamepinda mabinti watatu hivi walikaa sehemu Moja kumbe wananisema

Walipomaliza kunisema wakijua kabisa pasipo shaka ninaye wife tunakula pamoja na Hawa mabinti walikuwa wahudumu wa huu mgahawa

Sasa wife akataka chips kosa kubwa la kiufundi akalofanya Mmoja wao akamwambia asogee siti ya ukutani hafu yeye akakaa kati kumpigisha vistori

Huku mwingine akaamza kunitongoza Kwa ishara live, nilipoona mchezo nikausoma nikaamua kukata fitna nikakaa kikauzu kwelikweli .

Nkamwambia wifi......>..............
 
Back
Top Bottom