Kila nikikumbuka visa vya Mama Mwenye Nyumba, Kanyenye (Tabora) sirudi tena

Huko Tabora lazima nije niende,nimesoma nyuzi nyingi sana za huko,ntakuja kwenda,kila anayeenda anawasifu kua wadada ni wazuri sana.
 
Dah! Sasa mwanao akimaliza form 4 ukiwa bado hai,si mama yake atamliza aje ajilaze kifuani mwako,umbembeleze na yeye umkate maini? Bora uendelee tu
ha ha ha.. Poise hivi ni vijimambo tu anyway usijali kwa sasa nmeacha huo utundu natafuta mke mzuri nioe. kama una dada yako mzuri nisukumue huku nami nitulie kama wewe ndugu yangu......
 
CHAI
 
sijawahi kufika Tabora..ila nasikia ni mji ambao papuchi ni cheap kuliko kitu chochote..tena papuchi za viwango vya juu..Wadau mliofika tabora tunaomba ushuhuda wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…