Kila nikikutana nae kimwili anatoa damu

Kila nikikutana nae kimwili anatoa damu

Jocasta

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2014
Posts
474
Reaction score
595
Habarini wana jf.Nina gf wangu ambaye siku ya kwanza kukutana nae,alitoa damu mpaka kulowanisha shuka,nikadhani kawaida cha kushangaza siku ya pili iyo hali ikajirudia.Hili litakuwa tatizo gani?
 
Una mboo kisu nini..... Ila hapo nadhani demu atakua na matatizo sidhan kama kijana angu utakua na mguu wa mtoto ila useme km na maumivu. Anapata au
 
Habarini wana jf.Nina gf wangu ambaye siku ya kwanza kukutana nae,alitoa damu mpaka kulowanisha shuka,nikadhani kawaida cha kushangaza siku ya pili iyo hali ikajirudia.Hili litakuwa tatizo gani?
Kumbe mwanaume,hii ndio Jf.
 
Habarini wana jf.Nina gf wangu ambaye siku ya kwanza kukutana nae,alitoa damu mpaka kulowanisha shuka,nikadhani kawaida cha kushangaza siku ya pili iyo hali ikajirudia.Hili litakuwa tatizo gani?
Mbona juzi ulitoa Uzi tu kuwa uliolewa na mume wako kashindwa kukupa mimba Mkuu? Au una jinsia mbili halafu zote zipo active nini?
 
Back
Top Bottom