Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe mwanaume,hii ndio Jf.Habarini wana jf.Nina gf wangu ambaye siku ya kwanza kukutana nae,alitoa damu mpaka kulowanisha shuka,nikadhani kawaida cha kushangaza siku ya pili iyo hali ikajirudia.Hili litakuwa tatizo gani?
Pasigile padebe nikove lidemi liyango.Mzee wa fix
Mbona juzi ulitoa Uzi tu kuwa uliolewa na mume wako kashindwa kukupa mimba Mkuu? Au una jinsia mbili halafu zote zipo active nini?Habarini wana jf.Nina gf wangu ambaye siku ya kwanza kukutana nae,alitoa damu mpaka kulowanisha shuka,nikadhani kawaida cha kushangaza siku ya pili iyo hali ikajirudia.Hili litakuwa tatizo gani?