Kila nikilala na mwanamke yeyote huwa wananing'ang'ania

Kila nikilala na mwanamke yeyote huwa wananing'ang'ania

Kama ukilala nao wanakung'ang'ania basi next time simama nao!!!

Umelipia hili tangazo lako lakini?
 
Wakuu kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu,Mimi ni kijana wa miaka 26 kwa sasahivi(2019).

Ninatatizo moja mpaka sashivi kwani kila nikilala na mwanamke(yaani kusex) huwa wanataka niwe nao milele.

1.Mwanamke wa kwanza nililala nae 2013.hapo ndo nilikuwa naanza kuwajua wanawake huyu tulidumu kwa muda wa miaka miwili mpaka nilipotoka sehemu nilikuwa nikishiisha na kuamia pengine kabisa Ila mpka Leo anataka nirudi kwani ataniudumia kila kitu.

2.Mwanamke wa pili uyu alikuwa ni mtu wa mbeya,huyu alinipeleka mpka kwao kunitambulisha kabisa kuwa ni mmewake ampendae mpaka wazazi wake wakawa wananiheshim mpaka basi.ila tuliweza kuachanishwa na mambo ya shule kwani yeye alienda iringa na Mimi dar.ila mpka Leo kwao wanajua ndo nitamuoa lakini Mimi sina hata mpango kabisa.

3.Huyu wa tatu yupo dar mpaka Leo niponae yeye ndo amekufa mzima mzima kabisa kwani huwa ananiletea kila kitu kutoka kwao..ila mama ake na baba yake huwu wanahisi lakini huhakika hawana.

Wakuu hasa wanawake wa jf naombeni ushauri huwa kunakuwa na tatizo gani La kila mwanamke unaelala nae anakung'ang'ania tu hata kama unajaribu kumuonyesha kuwa huna upendo kwake.

Naomba ushauri kwani sasahivi nahitaji kuwa na mchumba kabisa ili miaka ikisogea nisogeze jiko ndani ila sio hawa ninaodate nao sasahivi.zaidi nnaogopa magojwa sana kwani nimeona watu wanne wakifa na ukimwili laiv kwa ajiri ya kuendekeza uchovyaji hovyohovyo.

Karbu sana na asanten wakuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
wakuu na tatizo kubwa sana kila nikila chakula nashiba hhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaha
 
Unahonga sana,katika pato la 20 unahonga 18 lazima wakung'ang'anie tu.
 
Hyo Kawaida mkuu mbona kila Mwanaume anaambiwaga hivo afu hivo mbona sio vya gentleman kusimulia
 
Back
Top Bottom