Kila nikilala najikuta nimegeuka upande wa miguuni, nawaza nini kinanitokea kila siku?

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Wakuu, naombeni msaada

Nimeoa, mimi na mke wangu tuna mtoto mmoja lakini kila siku nakutana na mitihani ambayo nashindwa kuelewa ni nini kinatokea, tunapolala usiku kila nikiamka usingizini najikuta kichwa kikiwa upande wa miguu.

Ajabu ni kuwa mke wangu na mwanaye wao wanakuwa tu wapo sawa, kila nikistuka najikuta nimegeukia upande wa miguuni, sielewi nini hutokea na kwa sababu gani.

Naombeni ushauri natakiwa kufanya nini kuondoa hali hiyo au kubaini kinachonitokea.
 
Dawa ni kumkumbatia mkeo,kama ni kugeuka mgeukie wote miguuni asikutanie
 
Wakuu, naombeni msaada

Nimeoa, mimi na mke wangu tuna mtoto mmoja lakini kila siku nakutana na mitihani ambayo nashindwa kuelewa ni nini kinatokea, tunapolala usiku kila nikiamka usingizini najikuta kichwa kikiwa upande wa miguu.

Ajabu ni kuwa mke wangu na mwanaye wao wanakuwa tu wapo sawa, kila nikistuka najikuta nimegeukia upande wa miguuni, sielewi nini hutokea na kwa sababu gani.

Naombeni ushauri natakiwa kufanya nini kuondoa hali hiyo au kubaini kinachonitokea.
Hautumii VINYWAJI CHANGAMSHI au sigara kubwaa
 
Funga camera utapata jibu
 
Tafuta simu, weka video record ujirecord.

Sasa kuepusha ishu ya chaja au storage, weka lowest resolution mfano 720p 24fps.
Wanasema modern problems require modern solutions.

Hi yako tutaitaje mkuu😄😄

Solutions nzuri sana hii jamaa atumie halafu alete mrejesho hapa,jukwaani
 
Wanga wanakutoa huko nje wanasahau ulivyolala eiza kwa haraharaka zao.
 
Back
Top Bottom