Dawa ni kumkumbatia mkeo,kama ni kugeuka mgeukie wote miguuni asikutanieWakuu, naombeni msaada
Nimeoa, mimi na mke wangu tuna mtoto mmoja lakini kila siku nakutana na mitihani ambayo nashindwa kuelewa ni nini kinatokea, tunapolala usiku kila nikiamka usingizini najikuta kichwa kikiwa upande wa miguu.
Ajabu ni kuwa mke wangu na mwanaye wao wanakuwa tu wapo sawa, kila nikistuka najikuta nimegeukia upande wa miguuni, sielewi nini hutokea na kwa sababu gani.
Naombeni ushauri natakiwa kufanya nini kuondoa hali hiyo au kubaini kinachonitokea.
Hautumii VINYWAJI CHANGAMSHI au sigara kubwaaWakuu, naombeni msaada
Nimeoa, mimi na mke wangu tuna mtoto mmoja lakini kila siku nakutana na mitihani ambayo nashindwa kuelewa ni nini kinatokea, tunapolala usiku kila nikiamka usingizini najikuta kichwa kikiwa upande wa miguu.
Ajabu ni kuwa mke wangu na mwanaye wao wanakuwa tu wapo sawa, kila nikistuka najikuta nimegeukia upande wa miguuni, sielewi nini hutokea na kwa sababu gani.
Naombeni ushauri natakiwa kufanya nini kuondoa hali hiyo au kubaini kinachonitokea.
Funga camera utapata jibuWakuu, naombeni msaada
Nimeoa, mimi na mke wangu tuna mtoto mmoja lakini kila siku nakutana na mitihani ambayo nashindwa kuelewa ni nini kinatokea, tunapolala usiku kila nikiamka usingizini najikuta kichwa kikiwa upande wa miguu.
Ajabu ni kuwa mke wangu na mwanaye wao wanakuwa tu wapo sawa, kila nikistuka najikuta nimegeukia upande wa miguuni, sielewi nini hutokea na kwa sababu gani.
Naombeni ushauri natakiwa kufanya nini kuondoa hali hiyo au kubaini kinachonitokea.
Wanasema modern problems require modern solutions.Tafuta simu, weka video record ujirecord.
Sasa kuepusha ishu ya chaja au storage, weka lowest resolution mfano 720p 24fps.
sio ndogo pia labda 360p / 480 p.Tafuta simu, weka video record ujirecord.
Sasa kuepusha ishu ya chaja au storage, weka lowest resolution mfano 720p 24fps.
Unakuta anageuka mwenyewe kumbeWanasema modern problems require modern solutions.
Hi yako tutaitaje mkuuππ
Solutions nzuri sana hii jamaa atumie halafu alete mrejesho hapa,jukwaani
Sure unaweza kuta 1 hr ikawa chini ya MB 1,000sio ndogo pia labda 360p / 480 p.
hapana mkuu siyo vitu vyanguHautumii VINYWAJI CHANGAMSHI au sigara kubwaa
hahahahahahahahahahahaa........duh..!Tafuta simu, weka video record ujirecord.