Kila nikileta beki tatu mume wangu anatembea nao, nimechoka

Kila nikileta beki tatu mume wangu anatembea nao, nimechoka

Tatizo beki tatu wana mbususu tamu kuliko wewe wife mbususu yako inahitaji spice😂😂
 
Hii ni chai. Kama siyo chai basi ni vyema huyo mwanamke akatulia. Kama kavumilia mume kuzaa watoto kumi nje na kuletewa watoto sita awalee anashindwa nini kuendelea kuvumilia?
 
Mimi ni mama wa miaka 40, ninafanya kazi na nina kipato kizuri tu. Sababu ya kuja kwako kaka ni kwamba mume wangu ni malaya sana, ni mtu wa wanawake na hahudumii familia...
Dada George kaombe talaka na mgawanyo wa mali ukifanikiwa ku prove mchango wako kwenye ujenzi,, nyumba utaipata kwa asilimia mia
 
Uliponunua kiwanja alikuwepo? uliponunua vifaa alikuwepo? kiburi ni nyumba,badilisha ownership ya nyumba na kiwanja kimya kimya maana mashahidi wanakujua, fanya vyovvote owner ship iwe yako then utulie.akifanya fujo Tell him to leave your house maana huyo ni Mario anakunyonya damu ni kupe.Zinduka
 
Nawahurumia Sana watu wanaopoteza muda wao kutoa ushauri kwenye mada za kutunga kama hizi.........
 
Back
Top Bottom