DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Sio rahisi Kama mtoa mada anavotaka kutuaminisha,Hapo kwny kuleta watoto 6 hapoooo....
Nitarudi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio rahisi Kama mtoa mada anavotaka kutuaminisha,Hapo kwny kuleta watoto 6 hapoooo....
Nitarudi..
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ukiwa iringa msimu wa baridi ukinywa Chai ya moto kama hii unakuja kushtuka badaye sana ulimi ushaungua.
🤣🤣🤣 muache Iddy Makengo jamaniIdd makengo huyu,ukiona anasema kaka naomba ushaur wako ujue Chai
Kama Joyce lomalisaKwa hiyo wewe ni Dada george Aloyce?
Dada George kaombe talaka na mgawanyo wa mali ukifanikiwa ku prove mchango wako kwenye ujenzi,, nyumba utaipata kwa asilimia miaMimi ni mama wa miaka 40, ninafanya kazi na nina kipato kizuri tu. Sababu ya kuja kwako kaka ni kwamba mume wangu ni malaya sana, ni mtu wa wanawake na hahudumii familia...
Hizi stroy za FB...kuna mtu anaitwa Iddi Makengo hua anapost kila siku.hivi hizi story mnatungaga au vipi maana kuna wewe na Selemani Sele kila siku mna matukio tena hasa ya kike kike vp au ni wawasilishaji tu
Kabisa..chai imezidi amdalasini...Sio rahisi Kama mtoa mada anavotaka kutuaminisha,
aaah kumbeeHizi stroy za FB...kuna mtu anaitwa Iddi Makengo hua anapost kila siku.