Kila nikileta beki tatu mume wangu anatembea nao, nimechoka

Hebu tujuze kunako 6x6 huwa anakutoa lile futa lile mashallah dukuduku?
 
Pamoja na yote kama unayosema hayan chumvi pole sana mama una mzgo mzto sana ila kazn na maombi

Ila sijackia hapo kwamba mmeo ni jobles kbs
Inavyoonyesha anatatizo mahali, sii bure ama hawaelewani na wenzie,ama vyovyote vile akiweza kubaini anapokosea hata maombi yatamsaidia🤔
 
Wewe kazi yako kuleta mitafaruku isiyo na tija, kusingizia ujinga ili jamii ione wanaume au wanawake ni watu wa hovyo hawana maadili.
Upumbavu wako mara uwe mwanamke mara uwe mwanaume.
Pumbavu sana wewe.
 
Picha ya hao beki3 tafadhali
 
Chukua watoto wako na vitu vyako ondoka dada,nyumba jifanye tu Kama umedondosha hela njiani mpita njia kaokota huyo sio mume ni kupe mnyonya damu Mali utapata zingine mbele ya safari Kama ndugu zako watakuchukia waache wachukie.
 
Kuna mwanaume hatembei na hausegel?
Hilo la kutembea na hausegel sio issue, wenzio wote unaowajua waume zao wanakula beki 3.
Kuzaa nje umetia chumvi hàsa hapo kwenye mtoto wa miezi sita. Hakuna mwanamke anayeweza kutelekeza mtoto mchanga.
Ushauri wangu. Mpe mumeo utelezi hasa morning Glory, ataacha kutembea nje. Ajiri hausegel mama mtu mzima,.
Ukiendelea kuajiri wa 15 mpaka 20 tusilaumiane, Tena wenye sura mbaya ndio watamu zaidi.
 
Mmh!...hapo pagumu!..Kwa ishu ya yy kutotoa matumizi na kutembea na Wanawake wengine ni jambo lingine. Hapo lazima uangalie je kigezo Cha yy kufanya hayo ni hicho tu Cha ww kufanya kazi au kuna jambo lingine Kila upande ujitazame vizuri hapo.
Aidha, Hilo la ww kufanya kazi huenda ni ya kuajiriwa ni la kuzungumza na kukubaliana katika zama hizi kwani ni kweli kwmba asili ya mwanamke ni kulea familia (kuanzia kwenye majukumu ya kuzaa hadi kulea Kwa ujumla) na mwanamke ni kuitunza familia hiyo (mwanaume atatafuta Kwa jasho). Nashauri hapo kama hataki ufanye kazi basi akufungulie biashara ambayo pamoja na ww kusimamia atajihisi kuwa yeye ndo kiini Cha biashara hiyo lakini pamoja na hayo tenga na muda wa kutimiza majukumu ya nyumbani kwako mwnyewe, epuka kumwachia dada wa kazi akufanyie Kila kitu.
 


Acha kuiba kwa Iddi Makengo bila kuweka credit humu JF.
 
Huyu mwanamke ni chizi
 
Chai kama hizi muwe mnakunywa wenyewe...
 
Ungetakiwa kuona red flag mapema sana kutoka kwa mme wako na kuondoka kabla hata ujafikiria kujenga nyumba. Ulipomwona mme wako ni mwasherati na malalya kulikuwa hakuna sababu ya kuendelea naye. kwa sasa mwombe Mungu akusaidie maana hapo ulipo kwa sasa ni pabaya. Labda uache kulipa mkopo na mwambie nyumba inakuja kupigwa mnada labda atashutuka.
 
Duu ila kuna wanawake ni wajinga aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…