Kila nikileta beki tatu mume wangu anatembea nao, nimechoka

Hii sio chai kuna aunt yangu yupo stage hiyo ya huyu mama.
 
Mkuu leo umekua mama wa miaka 40
 
Huyu ni Issue Makengo..nadhani huwa ni hadithi za kutunga hazina uhalisia...kweli mama Uwe ndio mtunza familia halafu mwanamke kazi kubwa owe kuletwa watoto

Hizi ni Abunuasi za Iddi makenge Instagram Na watu bado wanaamini Kwa chai hii yenye kukolezwa Na viungo
 
Hivi joji aloisi si njemba ww?Sawa unaleta tushauri,Kwa Hiyo unapata Kero za mademu tu?
 
hapo naona unamapenzi yakijinga. Huyo hafai achananae. Kubamsemo unasema ng'ang'ania ndoa ila ndoa isikuue.

Hapo chakufanya nikuachananae. Kuhusu nyumba kama unahitaji mgao wa jasho lako utaupata mahakamani. Kafungue shauri la talaka.
 
Fanya mpango umuue tu.
Huna mume pale una mzimu.

Mtu anafanya makosa kwa maksudi siyo kwa bahati mbaya alafu na madharau juu, aisee muue tu ki CIA ubaki kuwa mjane single mother.

Na ukishamuua hao watoto 6 watachukuliwa na mama zao na wewe utabaki free na wanao wawili.
 
ATAKUWA UPINDE HUYU (rainbow)
 
hii kitu unaweza fikiri ni chumvi ila kuna mwanamke jirani yangu, maisha yake yapo hivihivi. ajabu sana.
 
Mbona simple, beba watoto sepa, vunja ndoa mahakamani,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…