Kila nikileta beki tatu mume wangu anatembea nao, nimechoka

Mimi ni mama wa miaka 40, ninafanya kazi na nina kipato kizuri tu. Sababu ya kuja kwako kaka ni kwamba mume wangu ni malaya sana, ni mtu wa wanawake na hahudumii familia, kila kitu nafanya mimi. Nimejitahidi, nimekopa mpaka nimejenga mimi, ingawa kiwanja kina jina lake. Nilifanya kosa hilo kwa sababu nilikuwa sijakujuwa, hivyo nilinunua kiwanja kwa jina langu.

Lakini tuligombana, akaenda kushitaki nyumbani kwetu ambapo waliniambia kila kitu kinatakiwa kuwa kwa majina ya mume wangu kwa sababu mimi ni mke tu na yeye ndiyo baba, kichwa cha familia. Kila mtu alikuwa upande wake, akatishia kuniacha hivyo nikaamua kubadilisha majina, nikaandika majina yake ingawa hata katika ujenzi hakuchangia kitu chochote, kila kitu nilifanya mimi mwenyewe mpaka kukamilisha.

Wakati huo huo hahudumii familia. Nikimuuliza ananiambia kuwa kama nataka ahudumie familia basi niache kazi, niwe mke wake, nifanye kazi za nyumbani, atahudumia. Mimi nilikataa kuacha kazi, sababu ya kuja kwako ni hivi: Mume wangu anachepuka sana, ana watoto zaidi ya kumi nje, anazaa na wanawake na anawatelekeza. Kila mwanamke anayekutana naye anamuambia kuwa amegombana na mke wake na wanakaribia kuachana.

Anampeleka mpaka kwao na kumuahidi vitu vingi, wengi ni mabinti wa chuo, anawazalisha na kuwaacha, ila kuna baadhi ambao humtelekezea watoto ambao anakuja kuniachia mimi. Sasa hivi nina watoto wake sita nawalea, hatoi pesa yoyote, watoto wenyewe ni wadogo, kuna ambaye kaletwa juzi ana miezi sita, ananitaka nimlee. Nikimuambia atoe hata pesa ya mfanyakazi ananiambia kuwa hawezi kuoa mke na kutafuta mfanyakazi kwani mimi nafanya nini.

Nina wafanyakazi wawili ambao nawalipa mimi. Kaka, nimechoka na sijui cha kufanya. Tukigombana kidogo ananiambia kuwa kama nimechoka niondoke, lakini yeye hawezi kuacha kuzaa. Sababu ya kuja kwako kaka ni kwamba, nimegundua kuwa mume wangu anatembea na wafanyakazi wangu wote wawili, tena wananidharau.

Nikimuambia kwanini unafanya hivyo ananiambia ni mimi nimeleta wafanyakazi, kama nataka aniache kutembea nao basi niache kazi, nihudumie watoto wake, la sivyo kila nitakayemleta atatembea naye. Kaka, mimi nina watoto naye wawili tena wakubwa, ila kaniletea watoto sita wadogo. Yaani, nashindwa cha kufanya, ananiambia kama nimechoka niondoke, nimuachie nyumba ambayo nimejenga na pesa yangu. Mpaka sasa nina mikopo, kaka nisaidie nifanyeje? Naishi vipi na huyu mwanaume?
Huna akili, hata nikikushauri utazidi kutoa boko tu, cha msingi endelea kuishi ivo ivo tu, kama ishu ni kutembea na hausigeli leta ndugu yake kutoka kijijini awasaidie kazi
 
Huyo jamaa ana roho chafu , anahitaji kufunguliwa ,
Ila huyo mpeleke ustawi wa jamii , amevuka mipaka , wala hiyo nyumba asikutishie maana ni ya kwako na watoto wako , haki yako ni kubwa , jiokoe nafsi yako ,maadamu yeye hajamaliza dunia , Mwache akili imkae , mpeleke ustawi wa jamii ,maana atatengeneza watoto wengi machokoraa ,ni ujinga ,
Pole sana !
 
Mimi ni mama wa miaka 40, ninafanya kazi na nina kipato kizuri tu. Sababu ya kuja kwako kaka ni kwamba mume wangu ni malaya sana, ni mtu wa wanawake na hahudumii familia, kila kitu nafanya mimi. Nimejitahidi, nimekopa mpaka nimejenga mimi, ingawa kiwanja kina jina lake. Nilifanya kosa hilo kwa sababu nilikuwa sijakujuwa, hivyo nilinunua kiwanja kwa jina langu.

Lakini tuligombana, akaenda kushitaki nyumbani kwetu ambapo waliniambia kila kitu kinatakiwa kuwa kwa majina ya mume wangu kwa sababu mimi ni mke tu na yeye ndiyo baba, kichwa cha familia. Kila mtu alikuwa upande wake, akatishia kuniacha hivyo nikaamua kubadilisha majina, nikaandika majina yake ingawa hata katika ujenzi hakuchangia kitu chochote, kila kitu nilifanya mimi mwenyewe mpaka kukamilisha.

Wakati huo huo hahudumii familia. Nikimuuliza ananiambia kuwa kama nataka ahudumie familia basi niache kazi, niwe mke wake, nifanye kazi za nyumbani, atahudumia. Mimi nilikataa kuacha kazi, sababu ya kuja kwako ni hivi: Mume wangu anachepuka sana, ana watoto zaidi ya kumi nje, anazaa na wanawake na anawatelekeza. Kila mwanamke anayekutana naye anamuambia kuwa amegombana na mke wake na wanakaribia kuachana.

Anampeleka mpaka kwao na kumuahidi vitu vingi, wengi ni mabinti wa chuo, anawazalisha na kuwaacha, ila kuna baadhi ambao humtelekezea watoto ambao anakuja kuniachia mimi. Sasa hivi nina watoto wake sita nawalea, hatoi pesa yoyote, watoto wenyewe ni wadogo, kuna ambaye kaletwa juzi ana miezi sita, ananitaka nimlee. Nikimuambia atoe hata pesa ya mfanyakazi ananiambia kuwa hawezi kuoa mke na kutafuta mfanyakazi kwani mimi nafanya nini.

Nina wafanyakazi wawili ambao nawalipa mimi. Kaka, nimechoka na sijui cha kufanya. Tukigombana kidogo ananiambia kuwa kama nimechoka niondoke, lakini yeye hawezi kuacha kuzaa. Sababu ya kuja kwako kaka ni kwamba, nimegundua kuwa mume wangu anatembea na wafanyakazi wangu wote wawili, tena wananidharau.

Nikimuambia kwanini unafanya hivyo ananiambia ni mimi nimeleta wafanyakazi, kama nataka aniache kutembea nao basi niache kazi, nihudumie watoto wake, la sivyo kila nitakayemleta atatembea naye. Kaka, mimi nina watoto naye wawili tena wakubwa, ila kaniletea watoto sita wadogo. Yaani, nashindwa cha kufanya, ananiambia kama nimechoka niondoke, nimuachie nyumba ambayo nimejenga na pesa yangu. Mpaka sasa nina mikopo, kaka nisaidie nifanyeje? Naishi vipi na huyu mwanaume?
kama kuna mtu atahamini kuwa hii story ni ya kweli basi ana matatizo
 
Mama nikuambie Kitu tunza risiti zako zote ulizokuwa unafanya manunuzi kipindi unafanya ujenzi wa nyumba Yako, na rekodi yote ya Mikopo ya Mabenki kwa ajili ya ujenzi, kuandikwa kwa jina la mmmeo kwenye Kiwanja siyo tija
Utakuja kunishukuru baadaye
kwa iyo na ww umeamini hii chai.
 
kama huna ushauri wa maana kwa uyu mwanamke usiongee chochote nimekuona hadi kwa idi makengo pole sana ...mpka nakukuta sehemu mbili mtandaoni unaomba msaada wa dhati natamani upate wataalamu wa mahusiano na ushauri wakusaidie swala lako.
ila nitakushauri uzingatie sana AFYA yako ya akili ndo ktu Cha muhmu ,ukipata nafasi burudisha moyo na nafasi yako Ili kuzuia msongo wa mawazo.
Pole na kaza mpo wengi na Kuna wengine wanaptia zaidi yako.haupo mwenyewe
 
Mimi ni mama wa miaka 40, ninafanya kazi na nina kipato kizuri tu. Sababu ya kuja kwako kaka ni kwamba mume wangu ni malaya sana, ni mtu wa wanawake na hahudumii familia, kila kitu nafanya mimi. Nimejitahidi, nimekopa mpaka nimejenga mimi, ingawa kiwanja kina jina lake. Nilifanya kosa hilo kwa sababu nilikuwa sijakujuwa, hivyo nilinunua kiwanja kwa jina langu.

Lakini tuligombana, akaenda kushitaki nyumbani kwetu ambapo waliniambia kila kitu kinatakiwa kuwa kwa majina ya mume wangu kwa sababu mimi ni mke tu na yeye ndiyo baba, kichwa cha familia. Kila mtu alikuwa upande wake, akatishia kuniacha hivyo nikaamua kubadilisha majina, nikaandika majina yake ingawa hata katika ujenzi hakuchangia kitu chochote, kila kitu nilifanya mimi mwenyewe mpaka kukamilisha.

Wakati huo huo hahudumii familia. Nikimuuliza ananiambia kuwa kama nataka ahudumie familia basi niache kazi, niwe mke wake, nifanye kazi za nyumbani, atahudumia. Mimi nilikataa kuacha kazi, sababu ya kuja kwako ni hivi: Mume wangu anachepuka sana, ana watoto zaidi ya kumi nje, anazaa na wanawake na anawatelekeza. Kila mwanamke anayekutana naye anamuambia kuwa amegombana na mke wake na wanakaribia kuachana.

Anampeleka mpaka kwao na kumuahidi vitu vingi, wengi ni mabinti wa chuo, anawazalisha na kuwaacha, ila kuna baadhi ambao humtelekezea watoto ambao anakuja kuniachia mimi. Sasa hivi nina watoto wake sita nawalea, hatoi pesa yoyote, watoto wenyewe ni wadogo, kuna ambaye kaletwa juzi ana miezi sita, ananitaka nimlee. Nikimuambia atoe hata pesa ya mfanyakazi ananiambia kuwa hawezi kuoa mke na kutafuta mfanyakazi kwani mimi nafanya nini.

Nina wafanyakazi wawili ambao nawalipa mimi. Kaka, nimechoka na sijui cha kufanya. Tukigombana kidogo ananiambia kuwa kama nimechoka niondoke, lakini yeye hawezi kuacha kuzaa. Sababu ya kuja kwako kaka ni kwamba, nimegundua kuwa mume wangu anatembea na wafanyakazi wangu wote wawili, tena wananidharau.

Nikimuambia kwanini unafanya hivyo ananiambia ni mimi nimeleta wafanyakazi, kama nataka aniache kutembea nao basi niache kazi, nihudumie watoto wake, la sivyo kila nitakayemleta atatembea naye. Kaka, mimi nina watoto naye wawili tena wakubwa, ila kaniletea watoto sita wadogo. Yaani, nashindwa cha kufanya, ananiambia kama nimechoka niondoke, nimuachie nyumba ambayo nimejenga na pesa yangu. Mpaka sasa nina mikopo, kaka nisaidie nifanyeje? Naishi vipi na huyu mwanaume?
Ajiri House Boy 😜
 
Wewe ni ke au me?

Trans-gender labda
 
Back
Top Bottom