Kila nikilewa napata mafua makali sana kesho yake

Kila nikilewa napata mafua makali sana kesho yake

ipo dawa ukitaka usiamke na mafua hakikisha kabla ya kulala ukitoka ulabuni tafuna tangawizi kipande utanipa majibu mambo ya kufungua makanisa tuwaachie akina St anne
Unauhakika na hii njia mkuu, mana hata mimi ni muhanga wa swala hili
 
Endelea kutumia rimu tu usijali sawa ee..

Kwahiyo kwa madai yako unaweza ukanichunguza ukanipata[emoji38][emoji38][emoji38]subiri hapo hapo msukuma nakuletea faili langu
Bado nasubiria uniletee faili lako mkuu
 
Hello hello watu wangu wa nguvu mambo vipiiiii...[emoji4][emoji4]
Natumai mko salama sana na mnaendelea vizuuuriii kabisa [emoji3344][emoji3317]‍[emoji3344].

Nirudi kwenye kichwa cha habari sasa[emoji16][emoji16]..
Aise wakuu bhana kila nikinywa kilevi chochote hata kama ni kidogo kiwe ni cha moto(room temperature)au cha baridi basi kesho yake ni lazima nipate mafua makali mnooooo Mpka naogopa mjue[emoji16][emoji16]

Nimevumilia kwa muda lkni wapi.mwenye aliyekuwa na hali kama hii na akapata kupona naombeni mniambukize huo upako wa tiba jamani[emoji3525][emoji3525]

Hazard CFC brother wa nyumbani kabisa naomba unitafutie mitishamba hii hali inanitishia ujue aiseh [emoji16][emoji16]
Na wengine woooooootee.

Kama uko karibu,,niko na juice ya mango mixed passion hapa karibuni sana wapendwa katika bwana [emoji1635][emoji1635]

Uzi tayari [emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji3344]
Acha ulevi siyo mzuri

Ole wao waamkao asubuhi na mapema, wapate kufuata kileo; wakishinda sana hata usiku wa manane mpaka mvinyo imewaka kama moto ndani yao!
Isata 5:11

Ole wao walio hodari kunywa kileo chenye nguvu, watu waume wenye nguvu kuchanganya vileo;
Isaya 5:22
 
Acha ulevi siyo mzuri

Ole wao waamkao asubuhi na mapema, wapate kufuata kileo; wakishinda sana hata usiku wa manane mpaka mvinyo imewaka kama moto ndani yao!
Isata 5:11

Ole wao walio hodari kunywa kileo chenye nguvu, watu waume wenye nguvu kuchanganya vileo;
Isaya 5:22
Nimeshauacha impongo
 
Back
Top Bottom