Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
[emoji8]Asante [emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji8]Asante [emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Unauhakika na hii njia mkuu, mana hata mimi ni muhanga wa swala hiliipo dawa ukitaka usiamke na mafua hakikisha kabla ya kulala ukitoka ulabuni tafuna tangawizi kipande utanipa majibu mambo ya kufungua makanisa tuwaachie akina St anne
Bado nasubiria uniletee faili lako mkuuEndelea kutumia rimu tu usijali sawa ee..
Kwahiyo kwa madai yako unaweza ukanichunguza ukanipata[emoji38][emoji38][emoji38]subiri hapo hapo msukuma nakuletea faili langu
Acha ulevi siyo mzuriHello hello watu wangu wa nguvu mambo vipiiiii...[emoji4][emoji4]
Natumai mko salama sana na mnaendelea vizuuuriii kabisa [emoji3344][emoji3317][emoji3344].
Nirudi kwenye kichwa cha habari sasa[emoji16][emoji16]..
Aise wakuu bhana kila nikinywa kilevi chochote hata kama ni kidogo kiwe ni cha moto(room temperature)au cha baridi basi kesho yake ni lazima nipate mafua makali mnooooo Mpka naogopa mjue[emoji16][emoji16]
Nimevumilia kwa muda lkni wapi.mwenye aliyekuwa na hali kama hii na akapata kupona naombeni mniambukize huo upako wa tiba jamani[emoji3525][emoji3525]
Hazard CFC brother wa nyumbani kabisa naomba unitafutie mitishamba hii hali inanitishia ujue aiseh [emoji16][emoji16]
Na wengine woooooootee.
Kama uko karibu,,niko na juice ya mango mixed passion hapa karibuni sana wapendwa katika bwana [emoji1635][emoji1635]
Uzi tayari [emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji3344]
Nimeshauacha impongoAcha ulevi siyo mzuri
Ole wao waamkao asubuhi na mapema, wapate kufuata kileo; wakishinda sana hata usiku wa manane mpaka mvinyo imewaka kama moto ndani yao!
Isata 5:11
Ole wao walio hodari kunywa kileo chenye nguvu, watu waume wenye nguvu kuchanganya vileo;
Isaya 5:22
Mungu akubariki, ungelikuwa karibu ningekuletea zawadi ya juice nzuri.Nimeshauacha impongo
Hhhh kunywa tu kwa imani huenda siku moja tukaonana ukanywa halisiAmen...nitakunywa juice kwa imani kali sana wewe inipe tu