Kila nikilewa napata mafua makali sana kesho yake

ipo dawa ukitaka usiamke na mafua hakikisha kabla ya kulala ukitoka ulabuni tafuna tangawizi kipande utanipa majibu mambo ya kufungua makanisa tuwaachie akina St anne
Unauhakika na hii njia mkuu, mana hata mimi ni muhanga wa swala hili
 
Endelea kutumia rimu tu usijali sawa ee..

Kwahiyo kwa madai yako unaweza ukanichunguza ukanipata[emoji38][emoji38][emoji38]subiri hapo hapo msukuma nakuletea faili langu
Bado nasubiria uniletee faili lako mkuu
 
Acha ulevi siyo mzuri

Ole wao waamkao asubuhi na mapema, wapate kufuata kileo; wakishinda sana hata usiku wa manane mpaka mvinyo imewaka kama moto ndani yao!
Isata 5:11

Ole wao walio hodari kunywa kileo chenye nguvu, watu waume wenye nguvu kuchanganya vileo;
Isaya 5:22
 
Nimeshauacha impongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…