Kila nikilewa napata mafua makali sana kesho yake

Jombaa uko sawa
 
Unanifaa kwa mfano wa kuacha ulabu[emoji2957][emoji2957]

Sio kwamba sinywi hizo nyingine za kizungu [emoji16] nakunywa lakini kila nikinywa najutia kwa nn nimekunywa. Kuacha pombe ni maamuzi binafsi mbona inawezekana kabisa.
 
Sio kwamba sinywi hizo nyingine za kizungu [emoji16] nakunywa lakini kila nikinywa najutia kwa nn nimekunywa. Kuacha pombe ni maamuzi binafsi mbona inawezekana kabisa.
Ohooo kumbee...nilijua hukunywi Kabisa aiseh
 
Iko simple dawa unayo mwenyewe ila hutaki itumia, kama hutaki kupata hayo mafua usilewe/ usinywe hayo madude.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…