Kila nikilewa napata mafua makali sana kesho yake

Ikishatokea hiyo sasa kesho yake kunywa mafua uone keshokutwa yake utaamka na pombe kreti ngapi?
 
Hali
Namshukuru Mungu,baba wa mbinguni
Muumba wa Mbingu na nchi...


Nimefanikiwa kupumzika pombe kabisaa..

AllahAkba
Haki Mungu ni mkubwa nyie ujue....

Hongera sana
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]blaza nimecheka kwa sauti mno haki tena.
Ngoja nimwite Saint Anne aniwashe maombi na injili nirudi kundini[emoji16][emoji16]
Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio naiona leo hii
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu amekupa chance nyingine,
Amekuponya
Amekupa alert
Ubadilike
 
Wokovu unakuita!

Dada mbona unaheri mi majanga yangu si unayajua nikinywa safari lager tu asubuhi najikuta chumba cha dada wa kazi! Heri wewe cha kufanya okoka tu dada yangu Mungu anakupenda..[emoji28]

[emoji23][emoji23][emoji23] Fwala kweli we jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…