Kila nikimbusu mpenzi wangu anatema mate chini

Nilijua tu wrng mngezan mdomo wangu mchafu mm huwa narnda hsptal kusafisha meno kila miex sita mdeak napiga kils siku kiac kwamba naends kushoot video lkn mwenzangu wapi
Kwa uandishi huu, huyo mdada ni mvumilivu sna
 
Sema ww jamaa una visa vingi sana vya kimapenz,mara useme mpenz wako hana tako,hv ni huyo huyo demu mmoja anakasoro zote hzo?
 
Nilijua tu wrng mngezan mdomo wangu mchafu mm huwa narnda hsptal kusafisha meno kila miex sita mdeak napiga kils siku kiac kwamba naends kushoot video lkn mwenzangu wapi
Hataki hiyo kitu sasa don't force, nani kakudanganya kwamba ni lazima kula denda? Mfano yeye akikushika kwenye kinyeo chako utakubali?
 

 
Kiongozi sisi sote wabantu na wabantu lazima waambiane ukweli, hilo domo lako litakuwa linanuka au ilo domo lako limekaa kama zombie mnyonya damu kama sio hivyo hayo mate yako ni kama ya kinyonga yaani yananata kama gundi. DOMO LAKO LIFANYIE UCHUNGUZI LA SIVYO HUYO DEMU HANA HISIA NA WEWE TAFUTA SIZE YAKO.
 
Fanya uende kwa mtalaam wa kinywa na meno kwa checkup...unawezakuta kuna tatizo kwako..hio sio kawaida
 
Unanuka mdomo kwenye vizi kuna mabaki ya ugali samaki wa jana na juzi yameoza
 
kama unamjazia mi mate yako mdomoni afanyeje???

hata mi sipendi..

usimlazimishe buwashee
 
Chukua laki moja kabla ya kumpa akionana zibusu nae umwambie azibusiii
Au temea mate kiasi kwenye noti
A
 
Unanuka ulimi piga mswaki kabla ya kuonana nae
 
Ila pia mm camini San kwenye kunyonya sna matee smtm naona kinyaa fln HV ...cwezi mate za mademu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…