Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa uandishi huu, huyo mdada ni mvumilivu snaNilijua tu wrng mngezan mdomo wangu mchafu mm huwa narnda hsptal kusafisha meno kila miex sita mdeak napiga kils siku kiac kwamba naends kushoot video lkn mwenzangu wapi
Mkuu inabidi uwe unachukua alafu unaweka waah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hataki hiyo kitu sasa don't force, nani kakudanganya kwamba ni lazima kula denda? Mfano yeye akikushika kwenye kinyeo chako utakubali?Nilijua tu wrng mngezan mdomo wangu mchafu mm huwa narnda hsptal kusafisha meno kila miex sita mdeak napiga kils siku kiac kwamba naends kushoot video lkn mwenzangu wapi
[emoji16]Piga mswaki kila baaada ya mlo
Habari wadau
Nipo katika mahusiano na binti fulani hivi ajabu tukikiss anaweka mate mdomoni kisha anatema chini nimeongea naye sana lakini hataki kuiacha kiasi inafika wakati najisikia vibaya mno. Nimegombana naye lakini hataki hata tuwe chumbani tukikiss anaweka mate mdomoni kisha anakwenda kutema bafuni anasema nisimlazimishe kuyameza mate hata tukisex mate anaweka mdomoni after sex anakwenda kutema bafuni
Kwa uchunguzi niliofanya nimebaini hata tukiwa njian tukakiss mate anaweja mdomoni kisha ataongeza spidi ya mwendo su kubadilu uelekeo nia yake tu ateme ayo mate ila nisimuone
Nifanyeje?
Kiongozi sisi sote wabantu na wabantu lazima waambiane ukweli, hilo domo lako litakuwa linanuka au ilo domo lako limekaa kama zombie mnyonya damu kama sio hivyo hayo mate yako ni kama ya kinyonga yaani yananata kama gundi. DOMO LAKO LIFANYIE UCHUNGUZI LA SIVYO HUYO DEMU HANA HISIA NA WEWE TAFUTA SIZE YAKO.Habari wadau
Nipo katika mahusiano na binti fulani hivi ajabu tukikiss anaweka mate mdomoni kisha anatema chini nimeongea naye sana lakini hataki kuiacha kiasi inafika wakati najisikia vibaya mno. Nimegombana naye lakini hataki hata tuwe chumbani tukikiss anaweka mate mdomoni kisha anakwenda kutema bafuni anasema nisimlazimishe kuyameza mate hata tukisex mate anaweka mdomoni after sex anakwenda kutema bafuni
Kwa uchunguzi niliofanya nimebaini hata tukiwa njian tukakiss mate anaweja mdomoni kisha ataongeza spidi ya mwendo su kubadilu uelekeo nia yake tu ateme ayo mate ila nisimuone
Nifanyeje?
Unanuka mdomo kwenye vizi kuna mabaki ya ugali samaki wa jana na juzi yameozaHabari wadau
Nipo katika mahusiano na binti fulani hivi ajabu tukikiss anaweka mate mdomoni kisha anatema chini nimeongea naye sana lakini hataki kuiacha kiasi inafika wakati najisikia vibaya mno. Nimegombana naye lakini hataki hata tuwe chumbani tukikiss anaweka mate mdomoni kisha anakwenda kutema bafuni anasema nisimlazimishe kuyameza mate hata tukisex mate anaweka mdomoni after sex anakwenda kutema bafuni
Kwa uchunguzi niliofanya nimebaini hata tukiwa njian tukakiss mate anaweja mdomoni kisha ataongeza spidi ya mwendo su kubadilu uelekeo nia yake tu ateme ayo mate ila nisimuone
Nifanyeje?
Chukua laki moja kabla ya kumpa akionana zibusu nae umwambie azibusiiiHabari wadau
Nipo katika mahusiano na binti fulani hivi ajabu tukikiss anaweka mate mdomoni kisha anatema chini nimeongea naye sana lakini hataki kuiacha kiasi inafika wakati najisikia vibaya mno. Nimegombana naye lakini hataki hata tuwe chumbani tukikiss anaweka mate mdomoni kisha anakwenda kutema bafuni anasema nisimlazimishe kuyameza mate hata tukisex mate anaweka mdomoni after sex anakwenda kutema bafuni
Kwa uchunguzi niliofanya nimebaini hata tukiwa njian tukakiss mate anaweja mdomoni kisha ataongeza spidi ya mwendo su kubadilu uelekeo nia yake tu ateme ayo mate ila nisimuone
Nifanyeje?
Hahaha 😂 dahVipi mdomo wako unasmell good lkn? Isijekua ni kama panya kafa afu unataka dada wa watu ameze mimate yako mkuu