Ila Ng'ombe hazeeki maini Lengo langu nitimize ile Ahadi yangu ya kukaa meza moja na Charity Ngilu hata niongee nae mawili matatu roho yangu itulie hapo ndio nifikirie sehemu nyingineSasa charity ni Bibi amezeeka wewe unapenda watu wazee? Lakini yupo single mumewe aliaga kitambo Sana rusha mistari huenda akavutiwa na maneno yako. Jishindie huyo.View attachment 1202819View attachment 1202820
Alikua waziri wa afya.Aihudumu enzi za Kibaki 2002-2007 kama waziri wa viwanda.
Ni bibi yangu, sijui huyo jamaa anamaanisha kweli au anatania.
Alikua waziri wa afya.
Siku hizi ni gavana wa kitui ukienda huko utampata.Mkuu siku nikitia timu SunCity nitafanya upelelezi wangu halafu nitakuPM
Sasa uache mademu wachanga kama mobetto waende kwa waganga uje kuchukua nyanya za watu π πIla Ng'ombe hazeeki maini Lengo langu nitimize ile Ahadi yangu ya kukaa meza moja na Charity Ngilu hata niongee nae mawili matatu roho yangu itulie hapo ndio nifikirie sehemu nyingine
Nenda kitui book appointment utamuona tena Yuko simple Sana hautasumbuliwa.Ila Ng'ombe hazeeki maini Lengo langu nitimize ile Ahadi yangu ya kukaa meza moja na Charity Ngilu hata niongee nae mawili matatu roho yangu itulie hapo ndio nifikirie sehemu nyingine
LOL...
Huyo hapo. View attachment 1202752
Aisee π tulia ackson wako nimemuona π π kwa hivyo uniache na thisdayes wangu ππJeno kwa hiyo ndo umeamua kunioneshea huyo thisdayes wako.
Duuh ngoja nivae miwani kwanzaHuyo hapo. View attachment 1202752
Leo sijamuona joto la jiweView attachment 1202788
Na hapo Amemaliza makopo mawili ya Makeup na Studio lights zote zimewashwa na Camera flash juu
Na bado hajazeeka akizeeka balozi wa nyumba kumi anaweza kumuamuru ahame mtaa kwani watoto watakua wanaota usiku.
Unalitia aibu hilo jina na hiyo brand ya ImhotepNdugu zangu wana Afrika ya Mashariki amani iwe kwenu
Mimi kwa mara ya kwanza nilimuona kwenye kampeni nikiwa Mombasa kiroho kikanidunda nikawa nafuatilia hotuba zake hata alipokuwa Waziri nilikuwa kila nikiyaangalia yale macho basi nyoka lazima atamani
Mpaka leo hii bado ninacuriwa nae najua lazima atakuwa na Bwana na watoto ila ndio dunia hiyo
Nimejaribu kudate Wakamba kadhaa lakini hakuna aliyemfikia Charity Ngilu
Ningependa angalau siku moja japo hata tusalimiane tu ili niushike mkono wake halafu hata nikifa kesho yake sawa tu.
View attachment 1202753
Hayo ndio macho ya Mahaba hakuna cha kula Kungu wala kupakaa wanja sijui shade ni kitu Natural Mimi hata kama nimezulumiwa Nyumba akinitokea nitapoa kama Barafu.
I love you my Sister.
Kama Una nguvu nakusihi uachane na charity yeye ni probox ,mjaribu huyu V8 Mtoto wa mgiryama kutoka jamii ya mijikenda pia yupo team Tangatanga, ni Moto wa kuotea mbali.Sijawahi kumuona Charity Ngilu akiwa amwekasirika sijawahi.
Labda watu walio karibu nae na sijui huwa anawezaje kuvumilia Stress za Maisha ya Familia na Maisha ya ulingo wa Siasa.