Nejad Rocket
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 298
- 197
Mnara unasoma 8G H+1.Usumbufu Upi mkuu
Kahawa Hufanya damu kuzunguka Saana Ko Unapokunywa Moyo unaanza Ku pump dam saaanaMnara unasoma 8G H+
Kahawa inafanya damu inazunguka vzr mwilini
Bango linajieleza wadau napenda sana kahawa hasa ya kienyeji nikishakunywa tu hapakaliki home wife sometimes akiona nakunywa anasepa kokote.
Kinachotokea nakosa subira no excuse hapakaliki hii ni tatizo au nini?[emoji26]
[emoji41] [emoji41] [emoji41]Inakuwa kama vumbi la kongo au nini?? 🤣🤣
hahaha. .bangi ndo atapagawa kabisa. .
hahaha. .bangi ndo atapagawa kabisa. .