Kila nikinywa kahawa nakuwa msumbufu Kwa wife.

Nejad Rocket

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2017
Posts
298
Reaction score
197
Bango linajieleza wadau napenda sana kahawa hasa ya kienyeji nikishakunywa tu hapakaliki home wife sometimes akiona nakunywa anasepa kokote.

Kinachotokea nakosa subira no excuse hapakaliki hii ni tatizo au nini?[emoji26]
 
Inakuwa kama vumbi la kongo au nini?? 🤣🤣
 
Back
Top Bottom