Nejad Rocket
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 298
- 197
Bango linajieleza wadau napenda sana kahawa hasa ya kienyeji nikishakunywa tu hapakaliki home wife sometimes akiona nakunywa anasepa kokote.
Kinachotokea nakosa subira no excuse hapakaliki hii ni tatizo au nini?[emoji26]
Kinachotokea nakosa subira no excuse hapakaliki hii ni tatizo au nini?[emoji26]