LA7
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 655
- 2,369
Hii hali maranyingi hunitokea nikiwa navuka bara bara nikaona gari linakuja kwa kasi kuna sauti inanijia nijitupe humo linipitie.
Kuna wakati inanibidi nirudi nyuma kabisa ili kuishinda hii sauti inayo niamuru kufanya hivo.
Au shimo refu au nikiwa juu daraja au kitu chochote bacho ni hatari? Hili ni tatizo la aina gani na linaishaje?