Kila nikiona kitu cha hatari natamani kujitupia nife

Kila nikiona kitu cha hatari natamani kujitupia nife

Sio kitu cha kawaida, siku hio roho ikikujia na mda huo akili ikawa mbali kimawazo ndio basi tena,
Pata msaada wa Kiroho na kitaalamu, Chunguza pia kuna Kitu kwako mfano hali ya kiuchumi, Maana hio ni underlying cause tuu, kuna kichochezi..

NB : Watu wanaojitoa Uhai, wangekua Wanajivika Muhanga kwa kuhakikisha wanaondoka na Mijitu yote inayonyonya nchi na kuwakandamiza Wengine, tusingekua na hivi virusi, kuanzia pale white mpk kule maspika, wangeenda kwa Kuacha legacy na Maombi nyuma..
 
Pole Sana Mzee Lakini Mi Nakushauri Uende hospitali Waweza Pata Msaada
 
Waambie ndugu zako wakufunge kamba wakulete Lutindi
 
Hii hali maranyingi hunitokea nikiwa navuka bara bara nikaona gari linakuja kwa kasi kuna sauti inanijia nijitupe humo linipitie.

Kuna wakati inanibidi nirudi nyuma kabisa ili kuishinda hii sauti inayo niamuru kufanya hivo.

Au shimo refu au nikiwa juu daraja au kitu chochote bacho ni hatari? Hili ni tatizo la aina gani na linaishaje?
Pole sana mkuu.Hili tatizo lipo kwa watu wengi sana,sio kwako tu.Nakushauri jifunze tu kupuuzia hayo mawazo.Hiyo hali itaisha
 
Asa
Duh pole sana Ila tafuta Kiongozi wako wa dini atakusaidia Ila kuna roho ya mauti inakunyemelea ,aidha uliwai kujitamkia kujiondoa uhai au uliwai kuwaza kutamani kufa kuliko kuishi, hivyo unaitaji msaada wa kiroho kuondoka katika hiyo Hali
Nte.
 
Asante yaani kama sio kurudi nyuma kwa kuishinda hii sauti ninge shasepa siku mingi
Pole mkuu na hongera kwa kuendelea kuishinda hiyo hali. Sali sana na Mungu atakusaidia.
 
Hii hali maranyingi hunitokea nikiwa navuka bara bara nikaona gari linakuja kwa kasi kuna sauti inanijia nijitupe humo linipitie.

Kuna wakati inanibidi nirudi nyuma kabisa ili kuishinda hii sauti inayo niamuru kufanya hivo.

Au shimo refu au nikiwa juu daraja au kitu chochote bacho ni hatari? Hili ni tatizo la aina gani na linaishaje?
Angalia Afya yako ya Akili iko shida mahali
 
Hii hali maranyingi hunitokea nikiwa navuka bara bara nikaona gari linakuja kwa kasi kuna sauti inanijia nijitupe humo linipitie.

Kuna wakati inanibidi nirudi nyuma kabisa ili kuishinda hii sauti inayo niamuru kufanya hivo.

Au shimo refu au nikiwa juu daraja au kitu chochote bacho ni hatari? Hili ni tatizo la aina gani na linaishaje?
Pamoja na kwamba kujiua ni dhambi kidini , lakini hata katika Mila nyingi za kiafrika tukio la mtu kijiua huchukuliwa kama nuksi na balaa lililoingia katika ukoo au eneo alilokuwa akiishi marrhemu.
Pamoja na hayo hizo njia ambazo shetani anakushawishi uzitumie zinaweza kukufanya upate mateso zaidi duniani huku ukiomba kifo kikuchukue katika muda ambao utauona ni mrefu sana.
Kuna uwezekano ukajirusha mbele ya gari inayokimbia barabarani, au ukajirusha Toka gorofani au juu ya daraja na badala ya kufa ukavunjika miguu au mikono na au ukapata majeraha kichwani Hadi kwenye ubongo ukapooza baadhi ya viungo na akili yako kupoteza uwezo wa kufanya mambo kwa ufanisi.
Baada ya hapo pamoja na mateso utakayopitia utageuka mzigo kwa jamii inayokihudumia baada ya kujisababishia ulemavu wa kudumu.
Sikushauri kujiua lakini hizo njia nazo shetani anakushauri kutumia kujiua zinaweza kukusababishia ulemavu wa maisha na hapo mambo yatakuwa magumi zaidi.
Waone viongozi wa dini au nenda hospitali uombe kuonana na daktari wa magonjwa ya akili.
 
Hii hali maranyingi hunitokea nikiwa navuka bara bara nikaona gari linakuja kwa kasi kuna sauti inanijia nijitupe humo linipitie.

Kuna wakati inanibidi nirudi nyuma kabisa ili kuishinda hii sauti inayo niamuru kufanya hivo.

Au shimo refu au nikiwa juu daraja au kitu chochote bacho ni hatari? Hili ni tatizo la aina gani na linaishaje?
Afya akili hiyo wahi
 
Hizi mambo ni ngumu sana, tuko kwenye Bus muda huu, Kuna binti kavaa hijab kapandia Msamvu Moro, akasema anashukia Chalinze, hajashuka anaulizwa hajielewi, kafikaje? Hajui, anaenda wapi? Hajui anasema ni mwanafunzi wa Chuo Cha Kiislam Moro.

Amefanikiwa kukumbuka namba za Wazazi wake wanasema anakuaga na hio shida. Kwahio Huwa anaondoka tu anaenda popote. MAISHA YANA CHANGAMOTO SANA
 
Hii mkuu hata mm nilikuwa nayo...nilikuwa naeza tamani jitupa mahali yeyote ili nife...but sasa hivi sina tena ni kitu ambayo siwezi kuelezea how did i won
 
Back
Top Bottom