Kila nikiona kitu cha hatari natamani kujitupia nife

Dah,ukipelekwa kwa mpalange bao 5 tatizo lako linaisha,bao 5 TU
 
Attention seeking disorder.

Notice hata rate yako ya kuanzisha nyuzi na hoja unazoandika
 
J Jitamkie kuwa,

"Sitakufa, Bali nitaishi niuone wena wa BWANA katika Nchi ya Walio hai."

Naifujuza Roho hiyo chafu ya MAUTI ndani Yako Kwa Jina la YESU kristo wa Nazareth.

Amen
 
Mkuu hilo ni Pepo la Mauti linakunyemelea! Nenda Kanisani ufanyiwe maombi au kila unapoisikia sauti hiyo ikikuambia jirushe au jitupe ikemea hiyo sauti kwa jina la Yesu,hali hiyo itaondoka!
 
karipoti hospitali kubwa iliyo karibu nawe ilo ni tatizo la akili usipuuze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…