Kila nikipanda gari nalala fofofo, nawezaje kumaliza tatizo hili?

Kila nikipanda gari nalala fofofo, nawezaje kumaliza tatizo hili?

Mr Chromium

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2020
Posts
2,761
Reaction score
3,835
usingizi.jpg

Hii shida ninayo sana ya usingizi ulioptiliza.

Kila nikipanda gari, daladala hata safari fupi lazima nilale fofofoo. Shida hii imepelekea kupitilizwa vituo sometimes.

Je, hili tatizo dawa yake nini?
 
Hii shida ninayo sana ya usingizi uloptiliza
Kila nikipanda gari, daladala hata safari fupi lazima nilale fofofoo .
Shida hii imepelekea kupitilizwa vituo sometimes.
Je, hili tatizo dawa yake nini
Kacheki afya, labda mwili wako umeshajenga sumu nyingi tokana na vyakula unavyokula.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Hii shida ninayo sana ya usingizi uloptiliza
Kila nikipanda gari, daladala hata safari fupi lazima nilale fofofoo .
Shida hii imepelekea kupitilizwa vituo sometimes.
Je, hili tatizo dawa yake nini
Binadamu kwa siku unatakiwa ulale masaa 8 na kuendelea... Wewe unalala masaa mangapi na unafanya shughuli gani, uenda hata shughuli unazofanya upumziki vya kutosha.
 
Hii shida ninayo sana ya usingizi uloptiliza
Kila nikipanda gari, daladala hata safari fupi lazima nilale fofofoo .
Shida hii imepelekea kupitilizwa vituo sometimes.
Je, hili tatizo dawa yake nini
Mzunguko wako wa damu hauko sawa. Hewa pia haifiki kwenye ubongo vizuri.

Ushauri.

1. Fanya mazoezi mepesi .
2. Lala masaa nane.
3. Punguza kuwaza juu ya uwezo wako. Maisha ni mafupi. Hata kama unadaiwa chukulia kawaida tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom